Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Pina colada ni cocktail drink(rum+pineapple juice+coconut juice)
 
Hiki kisa chako nimekirudia kusoma mara mbili 😅😅🙌

Kweli Kuna watu wamevurugwa na mapenzi 😜
 
Mkiona hii ID ya mtaalam Jesse Lingard jueni kuna mtu anakaribia kuangushiwa jumba --

Majuzi tu, 2021, yule Mdada wa JF aisee hapana -- Dada ana mwili mkubwa amejazia juu hatari -- Halafu mwenyewe anaji brag ni corporate material -- Nilimvumilia masaa machache, ukawa mwisho. Mbusi yule maneno mengi -

2023 nikaja kukutana na the real corporate pale 1245, usiku wa akili za usiku -- Japo tuliendeleza mawasiliano kwa siku kadhaa mbele, nikiri viwango vyake vilikuwa vya juu sana, mimi ndo nilijiengua.
 
Nilimuona Facebook kipindi icho Facebook moto kweli,tukapanga tuonane tukaonana kweli!!
Alikua Yuko real vilevile kama picha alizokua akinitumia!
Nikaona tunaendana akanizalia binti now Yuko form 1 mdogo wake Yuko darasa la 5
Angels still exist
 
Nacheka kama mazuri
 
Uko sahihi kabisa, kuna jarida moja nchini Nigeria lilitoa picha za wasanii mbalimbali picha kipindi wamepigika hawajawa maarufu na hawajawa na pesa, picha ya pili ni kipindi cha sasa kwa kweli ni vitu viwili tofauti,
 
Ila sumbai una vituko😂
Una mtoto mwenye age 35 above? Ili niingie kwenye ukoo wako upunguze kuniwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…