Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pina colada ni cocktail drink(rum+pineapple juice+coconut juice)Umenikumbusha nyimbo ya Rupert Holmes inaitwa Escape,(Pina Colada)
Rupert alikua kachoshwa na mke wake,akaamua atafute mwanamke MWINGINE amuoe,time hiyo hakukua na Simu Wala fb,so akanunua Gazeti kaficha utambulisho wake,akaweka tangazo kua anatafuta mwanamke,sifa asiwe smart sana awe na half brain,asiwe mlevi,hata kama anapenda yoga sio mbaya,Cha mwisho awe anapenda Pina colada (aina ya chakula)..
Akatokea mwanamke ambae ana sifa kama zile,nae kachoshwa na gume gume lake,wakapanga date kukutana,siku ya kukutana kaenda kukutana na mke wake.. wakachukuana wakarudi home..
Hivi wewe sio mdogo wake Unique Flower ?Mie hakuna niliyewahi mwona kwa macho wengi waliishia njiani niliolewa so kazi kwenu
Hiki kisa chako nimekirudia kusoma mara mbili 😅😅🙌Umenikumbusha nyimbo ya Rupert Holmes inaitwa Escape,(Pina Colada)
Rupert alikua kachoshwa na mke wake,akaamua atafute mwanamke MWINGINE amuoe,time hiyo hakukua na Simu Wala fb,so akanunua Gazeti kaficha utambulisho wake,akaweka tangazo kua anatafuta mwanamke,sifa asiwe smart sana awe na half brain,asiwe mlevi,hata kama anapenda yoga sio mbaya,Cha mwisho awe anapenda Pina colada (aina ya chakula)..
Akatokea mwanamke ambae ana sifa kama zile,nae kachoshwa na gume gume lake,wakapanga date kukutana,siku ya kukutana kaenda kukutana na mke wake.. wakachukuana wakarudi home..
Lete na wewe story Yako Tucheke 😀😀Hiki kisa chako nimekirudia kusoma mara mbili 😅😅🙌
Kweli Kuna watu wamevurugwa na mapenzi 😜
Nmerudi nipo likizo ntag popote😂😂😂
Baba Swalehe ulikosekana sana hapa..
Alikua mfupi😂😂😂
Baba Swalehe ulikosekana sana hapa..
Alidhani ni black mambaAlitaka black mamba
Kwann kakaItakua ulikua Ricard Momo Kaka
Hapo sawasawaWapo sema inategemea ni wa jambo gani kuna mpka wa kuzitafuna mbususu kimasihara.
Nacheka kama mazuriNiliopoa manzi mtandaoni akanipa no zake tukaanza wasiliana kitu kizuri hakua anakaa mbali sana na ninakoishi mm Yani mwendo wa dk 30 Kwa daladala Tukapanga cku ya kukutana mhuni nkatuma nauli na demu akaja ila sasa daaah nilijua ni kabinti fln ila kumbe ni lidada sawa na shangazi Yani limenizidi miaka 12 Aiseee haya mambo acha tuu
Uko sahihi kabisa, kuna jarida moja nchini Nigeria lilitoa picha za wasanii mbalimbali picha kipindi wamepigika hawajawa maarufu na hawajawa na pesa, picha ya pili ni kipindi cha sasa kwa kweli ni vitu viwili tofauti,Kupigika kifedha = kuwa na sura mbaya. Demu akishaona umechoka anakuona kama sokwe mbele yake. Hata mimi siku nakutana na huyo manzi nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa na shati kama la mwanakwaya wa kijijini kwa kina Lucas Mwashambwa. Hata kukutania pale Njiro Complex ilikuwa ni kufosi mambo.
Kudate na mtu 4yrs++ parefu, labda tuseme mapenzi yaliisha sio kutafuta challenges mpyaKwann kaka
Ila sumbai una vituko😂🤣🤣🤣
Kuna dem mmoja Enzi hizo SIM sio smart alikuwa nesi mbulu huko, SASA anasauti tamu Kama Diva anamzidi kidogo ephen_
Akaja town SASA kumchek mshikaji tukaenda kumpokea ubungo terminal miaka hiyo haha mweusi chunusi zakutosha kibonge flan hivi hasomeki.
Jamaa alizima simu tukapotea