Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Noma sana🀣🀣🀣🀣
 
Umewamiss mamodinyo eeh πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bro.

Achana na sisi, fuata Mambo yako.

Mbona Kuna wazee wengi tu wanawapa mimba wasichana wa sekondari. Lakini sisi vijana tumepiga kimya.
Alafu kunawazee pia wanatoa hoja zaajabu sana kwenye mijadala afu uzezeta wa nchi wote wanataka kuutupia Kwa watu ambao ndo wameianza robo karne.

Japo vingine alivyovitaja vinafanywa na rika zote afu ni ukweli.
 
Ila kweli,wajuajii balaa.Ukimcheki unasikitikaatu🀣🀣. Mambo ya msingi kwenye maisha hawayapi kipaumbele kabisaa,wao ni kumcheki nyashii ,simu na viwanja vikali
Ila hata bahadhi ya vijana watisini wanakielele balaah! hasa wanapokaa na vijana wa 2000.

Watu 90s Wanajikuta machino kishenzi mfano kipindi unaripoti shule afu iwe ya bweni dah!
 
Acha kuwasingizia wazungu.

Wazungu hawahusiki na upumbavu wa watanzania.
 
KAMA WATU WAZIMA KWELI MBONA MTU ASOME ISSUE ZA KODI ALETEWE ZA UCHUMI, HUKU MKIVUJISHA SIRI KAMA NINYI WATU WAZIMA HASA ?

AMA NDO KUSEMA NN ?

MMI SIO WA 2000 ILA VIJANA WA MIAKA HII WANA ARI YA MAENDELEO KUZIDI WAZEE WETU, JAPO MABAYA HAYAKOSEKANI KWAO LAKINI NI VIJANA SMART

WAZEE WETU WENGI WALITEGEMEA ELIMU KAMA ZANA YA KUWAKOMBOA KUPITIA AJIRA , LAKINI SASA TUNA TATIZO LA AJIRA THOUGH VIJANA WANAJITUMA NJE YA WALICHOKISOMA

NAPITA

EUD MUBARAK IN ADVANCE KWAKO @intelligentbusnessman makutupora
Bolotoba
 
Acha kuwasingizia wazungu.

Wazungu hawahusiki na upumbavu wa watanzania.
Ndio unaweza ukawa upambavu wetu. Ksbb hizo mbegu za kuboreshwa urusi wamekataa isingizwe hata punje moja. Ksbb wanajua hiyo ni siraha
 
Naomba usiniumize roho mimi kijana wa 2000 ndo kwanza niina miaka 25😊🀣shikamoo kaka
 
Huenda mtoa mada anataka tufakari Kwa uzuri ila kunamikoment humu ni ya kukashifu uzao wa 2000.

kama haya uliyo yaandika ni kweli 100%.
Sasa Kwa komenti kama hii hapo juu ni halali kukibeza kizazi Cha elfu2 wakati mfumo wa maisha mmeharibu wenyewe wazee 50s-70s(80s) Kwa kupigwa counter attack ya kuharibu uzao wenu.Kwahiyo mmewazaa afu mmeshindwa kuwalinda Sasa hivi mnawananga au sio
 
Kila mtoto sahv anataka kuwa mkata uno

Ova
 
Kwasababu walijiingiza kwenye genge la kuishabikia Yanga
 
Wengi wao wanaolaum kizazi kingine ni ksbb tu hawajui kwamba tatizo lako la leo limesababishwa na chanzo chako cha jana. Kwa hiyo kama ulivyosema hiki kizazi cha sasa kimetengenezwa na waliotangulia. Haya mambo yanategemeana. Hasa wa kulaumiwa ni wale waliotangulia. Ksbb bila waliotangulia kuzalisha au wangetaa mbegu zilizoboreshwa kama walivyokataa Russia,kizazi cha sasa kingekuwa bora sana. Maandalizi ya kesho yanaanza leo
 
Maisha yamekuwa magumu na fursa zimejaa. Wengi wamekata tamaa. Hili siyo kosa lao.
 
Kwa sasa tuache kwanza haya mambo mengine yapite tujue kwanza Derby iliyoairishwa kama ipo au la
 
Job Ndungai apewe maua yake aliongea mengi wakashika la nchi kuuzwa pekee Tena ni vijana wa TISS walimchoma huko huko ukumbini kujifanya wanafuatila content kumbe wanamrekodi mzee wa watu
 
Vijana wa 2000 wamefikiwa sasa, lol.
Ina naunga mkono hoja, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…