King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Je ni elimu mbovu?
Je ni malezi mabovu?
Hii product ya shule za kata vipi?
Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!
Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana
Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.
Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀
Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!
Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!
Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani
Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Lakini hata ukienda huko Canada majitu yamelegea sana mabonge wamekuwa kila Kona Marekani ndo mchawi wa Dunia hii,hili taifa limepata upinzani sana kwa sasa mapunga yamepungua kidogo yangejaa kila konaVyakula mkuu. Wazungu wametuweza sana.
Siku hizi eti mazao yanaboreshwa. Zamani Bibi zetu mahindi ya mbegu walikuwa wananing'izwa jikoni. Siku hizi hamna hiyo lazima ukanunue mbegu dukani. Zile mbegu huwezi kuzirudia tena lazima ukanunue zingine mwakani. Unajua maana yake nini. Ile siraha. Badala ya kuja kututoa kwa kupigana wameamua kutupunguza nguvu na uwezo kwa njia za vyakula. Yale mahindi wameyafanya yasirudiwe ili kila mara wayatengenezee uwezo mpya wa kutuangamiza. Hata kizazi cha sasa vitoto vinavyozaliwa vidogo vidogo. Uwezo wa kuishi wa mwafrica umepungua sana tofauti na wenyewe wazungu.
Wakaja kwenye kuku. Tukaacha kuku wetu wa kienyeji tumekumbatia masasu. Unakuta kuku anataga mara 3 kwa siku. Na ksbb wanatujua ujinga wetu wakajua mahala pa kutupatia, yanatumaliza. Nilishangaa kijana ananiambia nani ale kuku wagumu?. Eti anataka wa kisasa nyama ni laini tu. Duuuh...!
Wamekuja mpaka kwenye matunda,siku hizi ni nadra kukuta parachichi la zamani. Wameleta viparachichi vya ovyo,vimaembe unapanda mwaka huu mwakani kinatoa. Na wajua ujinga wetu na sisi tunakimbilia eti haraka kumbe ni vya kutuua na kupoteza ile kinasaba bora.
Wazungu wanatamani Africa tumalizike hata kesho. Kwa ujumla tunamalizwa.
Hii ni kweli kabisa
Kizazi cha 2000 hooovyo kabisaaa
Zaidi kuvaa milegezo, kushinda na vibegi mgongoni, kujichorachora mwilini, kuramba ramba midomoo, kuvaa vipensi vifupi
Pumbaaaaaaf kabisaaa
Njoo unikandeTulia nikukande sasa sio unakuja kichwa kichwa....
Umenisahau namimi Gen Z Nina miaka 21🤗Kila kizazi kina watu wenye akili na watu wenye samadi tupu kumkichwa so msiwaseme vijana Kwa maana wote hawapo kama mnavyosema kwa mfano Al-mukheef na Monetary doctor ni vijana wangu wadogo wanaojituma na wamekomaa kiakili kuliko hata baadhib ya wazee wa humu ambao samadi imewatapakaa kwenye vichwa vyao.
Najua wazee wenye samadi akilini wamekereka lakini ndo vile...
Alright, kumbe upo! Ni Jambo la kheri kijana kujitofautisha na vijana wenzake kwa kufanya mambo ya maana katika Karne hii ya utandawazi.Umenisahau namimi Gen Z Nina miaka 21🤗
Marhaba hujambo?Naomba usiniumize roho mimi kijana wa 2000 ndo kwanza niina miaka 25😊🤣shikamoo kaka
Wewe ni wa 3000? Mbona unajitenga na wenzakoVijana wa 2000 wamefikiwa sasa, lol.
Ina naunga mkono hoja, 😂😂😂😂😂
Kijana mtaa umenichanganya kubabake 🙌Marhaba hujambo?
Hili nalo neno!!Nadhani walibadilishiwa chanjo wakapewa za ng'ombe
Naaam hugs bruh.... Everything will be ok,Kijana mtaa umenichanganya kubabake 🙌
Sio Ata ishu ya pesaNaaam hugs bruh.... Everything will be ok,
Kulikoni tenaa?KAMA WATU WAZIMA KWELI MBONA MTU ASOME ISSUE ZA KODI ALETEWE ZA UCHUMI, HUKU MKIVUJISHA SIRI KAMA NINYI WATU WAZIMA HASA ?
AMA NDO KUSEMA NN ?
MMI SIO WA 2000 ILA VIJANA WA MIAKA HII WANA ARI YA MAENDELEO KUZIDI WAZEE WETU, JAPO MABAYA HAYAKOSEKANI KWAO LAKINI NI VIJANA SMART
WAZEE WETU WENGI WALITEGEMEA ELIMU KAMA ZANA YA KUWAKOMBOA KUPITIA AJIRA , LAKINI SASA TUNA TATIZO LA AJIRA THOUGH VIJANA WANAJITUMA NJE YA WALICHOKISOMA
NAPITA
EUD MUBARAK IN ADVANCE KWAKO @intelligentbusnessman makutupora
Bolotoba
Hata kama sio helaSio Ata ishu ya pesa