Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

Kwani Yamal alifanya maajabu gani alivyokutana na Nuno Mendez?
⭐️ Lamine Yamal vs. Portugal:

  • Was key in Spain's first goal
  • 4 shots
  • 81 touches
  • 1 key pass
  • 1 big chance created
  • 7 duels won
- 3 interceptions
- 2 tackles
 
Ulitaka azuiwe kitengeneza timu?
 
Mbappe..
Hiki kikosi akipewa mwingine kinaweza kisiwe hivi...
Yeyote psg anaweza kufunga...
Unamkumbuka wenger?
Hapo inategemea style of playing ni kweli inaweza isiwe kama yeye ila coach serious kwa budget na seriousness ya PSG nina uhakika watawin
 
Barca wakiimalisha defence yao wanauwezo wa kuwapiga PSG, kwani kuanzia kati kwenda mbele Barca wapo vizuri sana, nyuma tatizo.
 
Psg walianza kunishakangaz ile mechi ya kwanza na liverpool, japokua liverpool alishinda 1-0 ila alipigiwa mpira mpaka nikasema mechi ya pili liver atoboi na ilikua hivyo kweli.
 
Ulitaka azuiwe kitengeneza timu?
Sio maana yangu!
Maana yangu ni hii.

PSG imesajili wachezaji wake wa kikosi cha kwanza karibia wote bila competition sokoni.

Kvara amesajiliwa kitoka Napoli bila kelele yoyote, yaani ni kama vile timu kubwa zilikuwa hazimuoni.

Nuno Mendes na Joao Neves hivyohivyo.
 
Me naona tim iliyowapa changamoto hawa psg ni bayern juzi ingawa alifungwa lakin alibattle sana,,liver alizidiwa sana kipa ndo aliwapeleka penati
Huyo kipa ni mchezaji au sio mchezaji unajua watu wengine kichwani kama hamna kitu
 
Huyo kipa ni mchezaji au sio mchezaji unajua watu wengine kichwani kama hamna kitu
Kipa ni mchezaji, ila hakuna shabiki wa kandanda anapenda kuona man of the match anakuwa goalkeeper wake!

Mpaka goalkeeper anakuwa man of the match ina maana hiyo match kama shabiki uliingalia kwa mateso makubwa sana mpaka inaisha.
 
Kipa ni mchezaji, ila hakuna shabiki wa kandanda anapenda kuona man of the match anakuwa goalkeeper wake!

Mpaka goalkeeper anakuwa man of the match ina maana hiyo match kama shabiki uliingalia kwa mateso makubwa sana mpaka inaisha.
Sio hakuna sema wewe ndio hupendi sababu ni shabiki maandazi Mimi napenda kuona man of the match anakua goal keeper sababu naye anashiriki mchezo mateso umesikia pale watu wanachomana visu pale ni burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…