Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

Sio hakuna sema wewe ndio hupendi sababu ni shabiki maandazi Mimi napenda kuona man of the match anakua goal keeper sababu naye anashiriki mchezo mateso umesikia pale watu wanachomana visu pale ni burudani
Man of the match anapokuwa goalkeeper ina maana timu yako imezidiwa kila kitu.

Ndio maana mlishindwa kutoboa.
 
Man of the match anapokuwa goalkeeper ina maana timu yako imezidiwa kila kitu.

Ndio maana mlishindwa kutoboa.
Kuzidiwa kawaida kwenye mpira we unaona kuzidiwa ni kitu Cha ajabu utakua sio shabiki wa mpira umekurupukia ukubwani(shabiki maandazi)
 
Kuzidiwa kawaida kwenye mpira we unaona kuzidiwa ni kitu Cha ajabu utakua sio shabiki wa mpira umekurupukia ukubwani(shabiki maandazi)
Hakuna shabiki anapenda timu yake izidiwe, hasa bandwagons kama wewe.
Kama kuzidiwa si kitu cha ajabu kwanini haushabikii Bournemouth!?

Hiyo timu uliyoichagua kushabikia ni mafanikio yake yamekuvutia mpaka ukaichagua, acha kujidanganya bandwagon scouser!!!
 
Mbappe anasemaje?
 
Unajua wewe hujielewi Sasa timu ikizidiwa Mimi nione kitu Cha ajabu Gani wakati timu pinzani nayo inawachezaji kocha na Kila siku inafanya mazoezi na wanataka ushindi ndio maana nikasema wewe mpira umeujulia ukubwani sitoshangaa hata hiyo Bournemouth ikiwa on fire ukaenda kuishabikia sababu we ni shabiki maandazi fuata upepo wa timu kuwa onfire ndio maana unaona ajabu sana timu kuzidiwa
 
Mashabiki mpaka wamiliki wa top teams wote ni ambitious, kila shabiki anayeshabikia top team anawaza kuona timu yake inakuwa dominant, ngazi ya ligi na kimataifa.

Hili suala ni jepesi kulielewa, labda kama ubongo wako una shida ndio maana unashindwa kuelewa.

Ingekuwa kuzidiwa sio kitu cha ajabu makocha wasingekuwa wanafukuzwa kazi kwasababu ya kuzidiwa mbinu na makocha wa timu zingine.
 
Ulitaka makocha wakae milele ndio maana nikasema we akili huna
 
Haya maneno si mageni jijini.

Huwa mnayatoa sana mwisho wa siku mnashtukia Chelsea makwapa yananyanyuka katika namna ambayo hata sisi fans wao hatuelewi elewi imewezekanaje

Tahadhari tu kwa maafisa ubashiri:
Mpeni PSG (najua hamuwezi kushawishika vinginevyo), ila msiweke mizigo mikubwa ambayo hamuwezi kuhimili kuipoteza maana lolote laweza tokea. Mganga wetu kwenye gemu za hivyo ni immortal, hakufagi.
 
Sawa lakini mpira hauchambuliwi hivyo mkuu, ukisema hivyo mwingine atasema mbona Barcelona kajipigia sana RMA hadi goli 5-0 nje ndani kama zote ​
Madrid waligongwa mpaka na Arsenal sasa wana maajabu gani
 
Wote haonutawatafuta aisee....leo madrid sii umeona hamna cha vincious wala modric.
Hii psg moto wa kuotea mbali
Mkuu Mbape mwenyewe na spidi yake ile wakamwachia mpira anakimbia nao kwenye box ile anataka ku-shoot afunge wahuni wakaudokoa mpira wakabaki nao yeye aka-shoot hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…