The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
Gentleman,Comments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
hatariMwamba ni Vulture akitua wala mizoga lazima watafute pakutokea.
Yaani Makamu wa Rais awepo akague wizara yako halafu wazir husika asiwepo , bado unasema ni mgawanyo wa majukumi sasa final say atakua nani wakati wa kutoa feedback ?Nadhani ni mgawanyo wa majukumu tu, katika ujenzi wa taifa si lazima wote wawepo hapo
Toka mwanafalsfa Mwana F.A mpaka F.A na skills za master j binamu muite seisei π π π πKatika Mtu mie niimekuja mwona wa hovyo kwelikweli basi ni huyu anayejiita MwanaFalsafa
sijui ana Falsafa zipi hasa.
bro, unafahamu kuwa huyu jamaa anamaanisha? na wala sio mpango mahususi wa kutuhadaa, Nchimbi hakubaliani na yanayoendelea nchini, na naona ana baraka za wazee flani flani wapenda taifa (wale wasio wa hovyo) plus RCWatajuana wenyewe