Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Hana anachomaanisha. Majibu utayapata tu. Subiri utaonabro, unafahamu kuwa huyu jamaa anamaanisha? na wala sio mpango mahususi wa kutuhadaa, Nchimbi hakubaliani na yanayoendelea nchini, na naona ana baraka za wazee flani flani wapenda taifa (wale wasio wa hovyo) plus RC
Wanatuchezea tu akili zetuComments ziwe fupi fupi
ingekuwa Samia Wasingetokea pia?
Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
View attachment 3637581
Ni uwanja wa AFCON, we unatakaje?Uwanja wa AFCON ndiyo nini?
Aichomoe kwenye makabrasha atupe!Pambaneni sana wakati huu mpate katiba mpya.
Hakuna cha mgawanyiko, hao ni machawa wanaogopa kumkwaza tajiri wao.Nadhani ni mgawanyo wa majukumu tu, katika ujenzi wa taifa si lazima wote wawepo hapo
SawaHakuna cha mgawanyiko, hao ni machawa wanaogopa kumkwaza tajiri wao.
NakaziaWatajuana wenyewe
Majukumu yapi ayo yafanye wasitokee sehemu alipo namba Mbili?Nadhani ni mgawanyo wa majukumu tu, katika ujenzi wa taifa si lazima wote wawepo hapo
Huu ndo ukweli wenyeweWale Ni Wahuni Hawana Nafasi
kwa nchimbi c mchezoMichezo hiyo tunapangwa na mpaka uwe na akili timamu ndio utagundua..!!
Michezo hiyo, veggies wana mbinu za kila aina..!! Tunza comment hiikwa nchimbi c mchezo
Lilisikika nyumbu Moja likijambajamba puu puu pruuuu kupitia mdomoNimemuona Papaaa CPA. AMOS MAKALA (RC-ARUSHA) Amenuna muda wote wakati wa ziara ya VP Mkoani ARUSHA.
Inaonekana ndani ni pamotonsana, Kuna mengi yanatupita na hatuyajui yanayoendelea.
Ndani Ntititiii, Nje Ntititiii
CHADEMA kama nawaona vile wakija kuchukua nchi, maana watanganyika wengi Sasa hivi hawana Imani tena na CCM, natumaini ya CCM kwa watanganyika ni kama yameanza kupotea maana kizazi cha Nyerere kimeshaanza kupotea
Na Hali iliyopo Sasa hivi ni Kwamba watanganyika hawapo tayari kutawaliwa na WA kutoka Visiwani kwenye nafasi ya Namba 1
Ni jina tu alijipa utotoni hajui hata maana yake.Katika Mtu mie niimekuja mwona wa hovyo kwelikweli basi ni huyu anayejiita MwanaFalsafa
sijui ana Falsafa zipi hasa.
una uhakika au unaropoka tu?Lilisikika nyumbu Moja likijambajamba puu puu pruuuu kupitia mdomo
Of course, chadema inaweza kuchukua nchi 2090