Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nani kasema anatumia pesa za umma? Chama chetu kina kila aina ya rasilimali za kukifanya kiwa na pesa za kutosha kuendesha na kufanya shughuli zake za chama.Anatumia fedha za uma bila sababu yoyote
Hakuna chama chenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuitikisa CCM katika sanduku la kura.Thubutu ...jipe matumaini hewa
Mheshimiwa Makonda ni sauti na mtetezi wa wanyonge.ndio maana watu wanafurika na kumiminika katika mikutano yake kama mchanga wa baharini.Tena mtu mwenye kashfa mbaya mbaya
Sio kazi yake hiyo yaan katibu mwenezi aje kutatua changamoto ya umeme waziri yuko wapi? Naibu wzir yuko wapi?
Wanafurika hao wanaobebwa na Malori? Siri zimeshavujaMheshimiwa Makonda ni sauti na mtetezi wa wanyonge.ndio maana watu wanafurika na kumiminika katika mikutano yake kama mchanga wa baharini.
Heheheeee.....yale ya 2020 ilikuwa aibu ya duniaHakuna chama chenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuitikisa CCM katika sanduku la kura.
Rasilimali gani chama kimejaa mafisadi?Nani kasema anatumia pesa za umma? Chama chetu kina kila aina ya rasilimali za kukifanya kiwa na pesa za kutosha kuendesha na kufanya shughuli zake za chama.
Hakuna chama chenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuitikisa CCM katika sanduku la kura.
Makonda hawezi kuwa na ajenda zake, anatekeleza ajenda za CCM. Naona wewe umeandika ajenda zako unataka ziwe za makondaYaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Nyny munaowabeba kweny mabasi walifurika wapi?Wanafurika hao wanaobebwa na Malori? Siri zimeshavuja
Hiyo yoote ni system failure ya CCM.Nilimwelewa Mwanasheria wa Serikali kwamba ziara ya Mwenezi imemfumbua ufahamu kwamba wananchi wana changamoto nyingi sana ambazo hazijapatiwa ufumbuzi.
AG alienda mbali na kusema ataunda kikosi kazi ili kutatua changamoto hizo ambazo nyingi ni za kisheria, haki, wajibu na uwajibikaji.
Binafsi, ziara za Makonda zimenifundisha kitu, kwamba wananchi hawana tatizo lingine kubwa zaidi ya kukosa sehemu ya kupeleka kero zao.
Wenyeviti wa Vitongoji, Watendaji wa Mitaa/Vijiji, Kata na Katibu Tarafa wanahitaji waongeze nguvu katika kushughulika na kero za wananchi.
Magari ya serekali ni raslimali za ccm?Nani kasema anatumia pesa za umma? Chama chetu kina kila aina ya rasilimali za kukifanya kiwa na pesa za kutosha kuendesha na kufanya shughuli zake za chama.
Hizo za ccm zenyewe ziko wapi?Makonda hawezi kuwa na ajenda zake, anatekeleza ajenda za CCM. Naona wewe umeandika ajenda zako unataka ziwe za makonda
Yeye anaenezq mambo ya CCM, wewe unataka aeneze hayo yako haiwezekani.
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
HeheeeNyny munaowabeba kweny mabasi walifurika wapi?
Ni moja ya kazi zake coz chama kipo kutumikia raia leta hoja nyngn hy dhaifu kama misimamo ya chademaKwahiyo kazi yake ni kupatanisha ndoa za watu, au chama hakiisimamii serekali kwenye masuala ya umeme?
Kwamba lazima afanye maigizoYule ili awe relevant lazima afanye vile. Bila hivyo anasahaulika.
Magari yapi ya serikali yanayomilikiwa na chama? Chama kina magari yake na kila aina ya rasilimali.Magari ya serekali ni raslimali za ccm?
Hangaya limemfiti sanaUmwtoa neno gumu sana (IKABODI)