Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

Sio kazi yake hiyo yaan katibu mwenezi aje kutatua changamoto ya umeme waziri yuko wapi? Naibu wzir yuko wapi?

Kwahiyo kazi yake ni kupatanisha ndoa za watu, au chama hakiisimamii serekali kwenye masuala ya umeme?
 
Nilimwelewa Mwanasheria wa Serikali kwamba ziara ya Mwenezi imemfumbua ufahamu kwamba wananchi wana changamoto nyingi sana ambazo hazijapatiwa ufumbuzi.

AG alienda mbali na kusema ataunda kikosi kazi ili kutatua changamoto hizo ambazo nyingi ni za kisheria, haki, wajibu na uwajibikaji.

Binafsi, ziara za Makonda zimenifundisha kitu, kwamba wananchi hawana tatizo lingine kubwa zaidi ya kukosa sehemu ya kupeleka kero zao.

Wenyeviti wa Vitongoji, Watendaji wa Mitaa/Vijiji, Kata na Katibu Tarafa wanahitaji waongeze nguvu katika kushughulika na kero za wananchi.
 
Hakuna chama chenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuitikisa CCM katika sanduku la kura.

Kwa sababu sanduku la kura hapa Tanzania ni sehemu ya maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.

Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.

Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.

Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile

1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.

5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.

Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.

Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.

Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.

Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Makonda hawezi kuwa na ajenda zake, anatekeleza ajenda za CCM. Naona wewe umeandika ajenda zako unataka ziwe za makonda
Yeye anaenezq mambo ya CCM, wewe unataka aeneze hayo yako haiwezekani.
 
Nilimwelewa Mwanasheria wa Serikali kwamba ziara ya Mwenezi imemfumbua ufahamu kwamba wananchi wana changamoto nyingi sana ambazo hazijapatiwa ufumbuzi.

AG alienda mbali na kusema ataunda kikosi kazi ili kutatua changamoto hizo ambazo nyingi ni za kisheria, haki, wajibu na uwajibikaji.

Binafsi, ziara za Makonda zimenifundisha kitu, kwamba wananchi hawana tatizo lingine kubwa zaidi ya kukosa sehemu ya kupeleka kero zao.

Wenyeviti wa Vitongoji, Watendaji wa Mitaa/Vijiji, Kata na Katibu Tarafa wanahitaji waongeze nguvu katika kushughulika na kero za wananchi.
Hiyo yoote ni system failure ya CCM.

AG anajua kila kitu anazuga tu
 
Makonda hawezi kuwa na ajenda zake, anatekeleza ajenda za CCM. Naona wewe umeandika ajenda zako unataka ziwe za makonda
Yeye anaenezq mambo ya CCM, wewe unataka aeneze hayo yako haiwezekani.
Hizo za ccm zenyewe ziko wapi?
 
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.

Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.

Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.

Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile

1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.

5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.

Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.

Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.

Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.

Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.

Yule ili awe relevant lazima afanye vile. Bila hivyo anasahaulika.
 
Kwahiyo kazi yake ni kupatanisha ndoa za watu, au chama hakiisimamii serekali kwenye masuala ya umeme?
Ni moja ya kazi zake coz chama kipo kutumikia raia leta hoja nyngn hy dhaifu kama misimamo ya chadema
 
Back
Top Bottom