Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue


Wewe umeongea kitu cha Maana.
Unajua hizi kauli zinazosema Mwanamke anaakili kuliko mwanaume ndio zinawaponza Wanawake. Kwa maana hizo Akili zinazosemwa vijana wanzitafuta Kwa Wake zao pindi wakioa alafu hawazipati.

Ukishamchukulia Mwanamke anaakili ninakuhakikishia hautakaa naye, kwani mambo Yao mengi ni kinyume cha Akili
 
Usiseme zaidi mkuu
KIMBIA
 
Ninavyokwambia, Nina mwaka wa 5 Sina namba za mwenye nyumba ndio nyumba yangu ya kwanza tokea nilipoajiriwa Huku Lakini yeye mwezi tu ana namba za watu wote hapa na watoto wa mwenye nyumba, yani ni shughuli ni nzito kichwani Mwangu.
Daah Mkuu unasubiri mpaka ukutane na kidali kimejikunja ghetto [emoji51]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Umefanya papara kumfukuza,hizo ndio tabia zao,sasa wewe hukufanya research kuwajua kwa undani,ukakurupukia kumuweka ndani,sisi mbona tunaishi nao tena kwa raha na amani,ukishamjua hakupi shida,ulitakiwa kutumia akili sio hisia...
 
Ukisikia mitihani ya ndoa ndio hiyo sasa kikubwa,ni kupambana kumbadilisha huyo Mwanamke afuate itikadi zako ili muendelee kuishi,we fikiria kama mshua wako angemuacha maza wako mapema hivyo pengine usingezaliwa, Hizo tabia tumekumbana Nazi na tumepambana nazo ili kufika,ndoa ni ngumu sana usipokuwa na subra hawezi kuishi na Mwanamke,inaweza ukamuona Mwanamke ana akili ukiwa hauishi naye ila muweke ndani ndio utajionea sasa,Mimi mwenyewe ishanitokea nilikuwa nakaa sehemu sina mazoea na mtu kifupi kama wewe yaani unaishi kimkakati watu hawana taarifa zako kiundani lakini alikuja bibie akaanza mazoea na wale watu stori,mara kupeana chakula,mambo mengi mazoea....unampa maelekezo lakini wapi!

Mwisho tukahama yale maeneo.
Kuna watu unawapata kuwa wenza wako hamfanani tabia na mienendo inakuwa ndio Mungu aliyekuchagulia kwa hekma zake unakuwa huna namna zaidi ya kupambana kuzipunguza zile tabia alizotoka nazo kwao....Nashkuru Mungu tunaishi vizuri anelewa nisichokitaka na ninayoyakaaaa ana yaacha,Katika dini tunaambiwa tuwasamehe mara 70 kwa siku kwa sababu wao ni viumbe dhaifu....
Solution sio kumfukuza mkuu,bali kumbadilisha muimbe wimbo mmoja mzeeke pamoja.

Kibaya zaidi ni usaliti katika ndoa.
Hii yenyewe haina msamaha ndugu yangu.
 
Umefanya papara kumfukuza,hizo ndio tabia zao,sasa wewe hukufanya research kuwajua kwa undani,ukakurupukia kumuweka ndani,sisi mbona tunaishi nao tena kwa raha na amani,ukishamjua hakupi shida,ulitakiwa kutumia akili sio hisia...
Anafikiri kuishi na Mwanamke ni Wali Maharage mkuu,unaambiwa ukitaka kujipima kama una akili uoa.
 
Itakuwa tuna'share group moja la Watsap Mdogo wangu...

Binafsi sipendi na sitakagi watu wanijuejue sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…