Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

"It doesn't matter how thirsty you are, there are some people you should never ask water from, they will tell the whole world they gave you wine."​

whether is water or wine,
but CCM will donate a very new model car to hon.Tundu Antipas Lisu without any condition 🐒
 
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.

Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?

Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?

Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Sawa wacha wanunue na wamlipe pesa zake zote Bunge anazowadai itakaa vizuri. Lakini kwenye Uchaguzi Lissu atawageuka vibaya ili mradi achukue tahadhali. Awaombe na kura wampigie najua safari hii anapeperusha bendera patachimbika.ccm wasimpoze mapema hivi.
 
CCM haijawahi kuwa na pesa zake, CCM huchota pesa za serikali kwa matumizi yake ujiwemo ukarabati wa viwanja ilivyotupora wananchi.
ni kweli kabisaa,
CCM hutumia michango na ada za wanachama wake, lakin pia mamilioni ya ruzuku inayopata kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi...

hata hivyo,
CCM ndio chama dollar na Tawala Tanzania 🐒
 
Sawa wacha wanunue na wamlipe pesa zake zote Bunge anazowadai itakaa vizuri. Lakini kwenye Uchaguzi Lissu atawageuka vibaya ili mradi achukue tahadhali.
alishalipwa madai na marupurupu yake yote ya matibabu na ya bungeni...

CCM inampatika gari kama hisani bila masharti yoyote kutokana na hali yake kiafya lakin pia michango kidogo sana alichangiwa kwaajili ya kununulia gari, huenda ikatosha kununulia IST tu 🐒
 
Na kumpigie kura ccm wampigie 2025 achukue uraisi,wasiishie kwenye gari nk
that is the story for other day,

wacha CCM imkamilishie ile ya muhimu kwa sasa 🐒
 
alishalipwa madai na marupurupu yake yote ya matibabu na ya bungeni...

CCM inampatika gari kama hisani bila masharti yoyote kutokana na hali yake kiafya lakin pia michango kidogo sana alichangiwa kwaajili ya kununulia gari, huenda ikatosha kununulia IST tu 🐒
na kura mpeni safari hii
 
Ccm haijawahi kujali utu na mahitaji ya mwananchi yoyote nchini ambaye hayupo kwenye daraja la watawala.
hayo ni maoni na mtazamo wako ambao ni uhuru na haki yako kikatiba,

CCM itaendelea kujali utu wa kila mtu binafsi au jumla na kuhakikisha inajenga mazingira ya kila moja kutimiza ndoto na matarajio ya maisha yake...

muhimu ni kuacha uvivu tu🐒
 
Ni upendo tu..... Mwenyezi Mungu atulinde na kutufanya wamoja katika kutetea taifa letu la haki.
 
Pesa zake za matitabu hajalipwa and it’s open,Kama Agenda Lisu anazo nyingi juu ya Chama chenu ikiwemo uchunguzi wa yeye kushambuliwa na risasi

Mpaka leo mko kimyaa
 
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.

Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?

Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?

Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Ipo michango yetu inatosha kununua gari 10,hiyo yenu tutamshauri tujengee ofiisi za chama.
 
Pesa zake za matitabu hajalipwa and it’s open,Kama Agenda Lisu anazo nyingi juu ya Chama chenu ikiwemo uchunguzi wa yeye kushambuliwa na risasi

Mpaka leo mko kimyaa
unless hufuatilii mambo,
marupurupu, malimbikizo na madai yake yote yalishalipwa , sina haja ya kubabaika nalo hilo jambo...

hayo mengine,
sijui ya uchunguzi nakadhalika, ni suala la yeye kufuatilia kujua kimefikia wap coz ni haki yake, kama haoni huo muhimu vyombo vya uchunguzi haviwezi kubabaika nayo 🐒
 
Back
Top Bottom