ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Naona desert eagle amelala kitandan πππ
Nyie mlioolewa ukiiona missed call nyingi toka kwa mumeo ripoti police haraka !!!marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
"huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive" in jiwe's voice
this is government
Kichwani?Sasa hivi tunaenda kwenye mafunzo muda wote tutavaa bulletproof
Apo chacha.Naona desert eagle amelala kitandan [emoji3][emoji3][emoji3]
Ilo jini achana naloApo chacha.
Kauli mbiu ya sasa missed calls mwisho tatu tu. Zikizidi hii kitu inahusika
Umesahau na kuchakatana mbususu [emoji23][emoji23]Watajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Imagine kwa nyumba hizo tatu angepiga threesomes ngapi na kujipa furaha na gud memories. Wat a wasteπ€£π€£π€£π€£π€£Kwamba unamjengea mwanamke nyumba tatu zote za kazi gani?
You mean Kuna mtu anakula nauli ya mwana muda huu na Hana Mpango wa kutokea Uwanjani?Watu wako kwenye foleni
Mwanadam hakomi
Ova
Temporary insanity ni ya madesa tu ya kujibia mitihani ya UE..πππNafikiri angeweza kujipeleka polisi akampa kesi wakili mzoefu na akaachiwa kwa hoja ya 'Temporary insanity'
and the outcome is deathBut its can buy pussy and thats wat matters[emoji12]
Kwani usipokula mbususu hufi?and the outcome is death
Hamza alikufa kishujaa.Kabisa, Hamza kwa ukanda wa Pwani na viunga vyake na Said kwa upande wa kanda ya ziwa.
Kweli kabisa.Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.
Sijasema usihonge.
Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
...Sasa Wanazusha Nini na Wewe Umeandika Yale Yale kwamba Marhum alifuata Pesa Kwa Said??Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale