Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.

Sijasema usihonge.

Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Hivi ni kweli kafa?
 
Mkuu william anakuwa wa tatu kwenye hii rank
Nadhani anafuatia Real Madrid,, anayebisha akawaulize PSG , Chelsea, man city na liverkuku aliyeshindwa kujifunza au kujikumbushia ule msemo wa mwenzio tia zako maji akinyolewa!
..
Mwisho
 
Missed call 42 si mchezo.....sijui kwa nini huyo manzi hakupokea, wadada punguzeni dharau kwa waume au wapenzi wenu.....na masela punguzeni jazba kwenye mapenzi. Huyo jamaa pamoja na kuwa na mkwanja mrefu alishindwa kabisa kummudu huyo demu kisaikolojia hata kwa kutoka na mbebez mwingine matata......
 
Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.

Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.

Jamaa ni muoga na mjinga.

Alishindwa hata kua na escape plan.
Because he did it in the heat of the moment....hakua amepanga hilo , he must have been confused coz alikimbilia ziwani...kulikua na boat? Was he gonna swim? There was no escape plan
 
Because he did it in the heat of the moment....hakua amepanga hilo , he must have been confused coz alikimbilia ziwani...kulikua na boat? Was he gonna swim? There was no escape plan
Nimemuambia raraa reree kwamba kwa actions zilivyotokea nafikiri angekua na wakili mzoefu angeweza achiwa kwa excuse ya 'temporary insanity'
 
Dunia inaelekea ukingoni! Miezi 5 ya ndoa unatafuta talaka?!
 
Ukiwa na ujasiri huu, kwa nini usiondoke na dikteta mmoja duniani, na historia ikakukumbuka?
Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.

Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.

Jamaa ni muoga na mjinga.

Alishindwa hata kua na escape plan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…