Mbowe angehusika hata kama kwa size ya punje kama ya haladari basi kwa kipindi kile walivyokuwa wanamtafuta angekuwa ndani kwa kesi ya mauaji ,kwakuwa mnajua ninyi ndiyo mlikatisha miasha ya Ben ndiyo maana mnaleta utani utani.
Yakitokea mauaji yeyote kama serikali haihusiki basi ndani ya week tu wanakuwa washampata muuaji ila ukiona kimya basi ujue "kazi yao hiyo" ,Milembe na Dr wa Tarime wameuawa usiku wa maanani ,hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wauaji lakini serikali ishawapata waliotekeleza mauaji ila kwa Lissu ambaye alipigwa risasi ndani ya compound yenye ulinzi wa hatari mchana kweupe lakin hakuna aliyekamatwa....Yaani hapo jeshi limejipaka matope kwa udhaifu ili wawalinde kina BASHITE na MAKENZI.
Vipi Daktari Ulimboka alipona?Ukisikia top secret ndio hizo. Na huwa zinatoleaa tu regime ikibadilika kutoka chama tawala hadi wapinzani au nchi ikiahikiliwa kijeshi. Bado sijaona mtu wa kuweka wazi ripoti hiyo kwa sasa. Na ikiwekwa pemgine itakuwa imechezewa kuficha ukweli
The eagle 🦅Damu ya mfu hunuka na harufu hukoma pale haki inapotendeka..
SijuiVipi Daktari Ulimboka alipona?
Yupo fresh tu anadunda zakeSijui
Ungemfunga vipi Mbowe bila ushahidi?
Mambo mengine ni ya kujitakia, sasa yeye alikuwa anahiji PhD ya bwana mkubwa ili iweje?Mama hawezi achia hii ripot.atachofanya ataiomba msamaha familia kimya kimya .Na kuilipa fidia .report itatumika kama ushahidi wa kutoa hela ya serikali tu.lakini kwa ukubwa wa cheo cha rais anajua 100% juu ya mbwa ya chato kumuua huyu kijana kwa kuhoji phd yake
Ndio maana hadi kipindi kile tetesi ziliposema jamaa kanyosha goti ulikuwa umbeya tu.Tetesi ni sawa na umbea tu
Hida Newton alisema katumwa na Mwenyekiti Afrika kusini,vipi alirudi?Nimesema kama Mbowe angehusika na kifo cha Ben(Kama yuvisisiemu wanayosema) basi angekuwa ashakamatwa ,hauwezi kufanya jambo kubwa la mauaji bila kuacha trace.
Bashite aliwasiliana na Ben na wakawa na mpango wa kukutana baada ya siku mbili kabla ya meeting akapotea.
Kuna namba ya voda ilimwambia Bensaanane kwamba aache kumtusi JIWE ikamsisitiza kwamba hes too young to die ,ikamwambia akiendelea ipo siku atajikuta mbele ya Chatu peke yake...ile namba haijawahi kuchunguzwa hata mara moja.
Aaah mtoto wa laymaa...unajua mshua wko ndie huyo?Aliyeua kwa upanga naye leo hayupo. Asante Mungu (au wanadamu wenye walioingia kati) kwa kutuondolea mbali lile dubwasha lililoitwa JPM.
Kwangu 17 March,2021 ilikuwa siku ya furaha sana na itabaki hivyo milele.
inasikitisha sana. Halafu utaskia mtu anasema tulipoteza jembe tunataka raisi kama Magu. Mwacheni Mungu aitwe Mungu.Duh kumbe hizi tetesi zina ukweli?
Yeah ,ukishakuwa kwenye list ya mu yu esi ei wakikuhitaji muda wowote utapatikana .. na huenda ni kweli huyu bashite kahusika direct or indirect kwenye mambo Fulani Fulani ya kudhulumu uhai au kumwaga damu za watu fulani Fulani 🤔. Mwanzoni nilidhani tu ni propaganda za kisiasa kumchafuaHana pa kukimbilia.. Ukishawekwa kwenye black board ya US jicho lao kwako ni 24/7
Nyie mnaona nchi imetulia kama maji ya mtungi mnafikiri imetulia hivi hivi...
Ametengeneza skandal kwa ID mbili tofautiUmeandika nini? Kwa nini usitulie ukaandika vizuri?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app