Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Kingine mashg weng pand hizo mzee

Na miss machimbo kama hunters,hugos ukienda unaweza ukakaa na mkaongea mipango

Ila bat zingin ukienda usumbufu tu
Kuvutana mashati,mizinga tu

Ova
 
FM Academia pale La Chaaz wamemuimbia juzi mteja mmoja tu, wimbo wa happy birthday Hadi huruma.
Dah! Kuna bar maarufu ya zamani nilienda gongo la mboto siku ya muungano wahudumu walikuwa wengi kuliko sisi wateja.
Nikajua labda ni mapema lakini nilikaa mpaka saa tisa alasiri lakini wapi.

Hawajifunzi wengine wanakarabati ili wakimbizane na wateja, wao wamebaki kizamani wanajua jina linatosha.
 
Mbeya pazuri siielewi kabisa kwa vibe naikumbuka Shaba Pub ya enzi zile ilikua soweto ilikua unatoka lusaka unawaza ufike haraka shaba pub ule nyama walikua na jiko safi plus mtungi wa maana
Mbeya watu Wana pesa ila kuhusu burudani yani Bata kama Bata hakuna, kama Arusha tu watu wa uko Wana kelele Arusha Arusha ila napo ndio vile vile tz ni Dar, Mwanza kahama, na Morogoro watu wanajiachia jamani
 
Hivi hizi picha zinazopigwa na kumbi za starehe, huwa wanawaomba ruhusa wahusika?
hawaombi,wao wanapiga tu,haya mambo ndio yalinifanya nipachukie Dar Live maana ilikuwa kawaida kutokea kwenye gazeti unabambia...Pia nimewahi sumbuana na uongozi wa Hotel fulani baada ya kuniweka kwenye page yao ya insta nikiwa kwenye beach yao.
 
hawaombi,wao wanapiga tu,haya mambo ndio yalinifanya nipachukie Dar Live maana ilikuwa kawaida kutokea kwenye gazeti unabambia...Pia nimewahi sumbuana na uongozi wa Hotel fulani baada ya kuniweka kwenye page yao ya insta nikiwa kwenye beach yao.
Aise, hawajamaa hawaheshimu privacy ya mtu kabisa. Ipo siku itakuja wacost.
 
ebana eeee yan madem walivyo wazuri kuna wadau wanafata mapunga ...ama kweli zama zimebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…