Hahahahaha.......inaonekana ni muumini Wa taaluma ya Mshana Jr. Pole yakeHuyo alifungua duka karibu na muha kilichomtokea ndio hadi leo anahadithia na bei alishusha kabisa lakini wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.......inaonekana ni muumini Wa taaluma ya Mshana Jr. Pole yakeHuyo alifungua duka karibu na muha kilichomtokea ndio hadi leo anahadithia na bei alishusha kabisa lakini wapi
Kingine mashg weng pand hizo mzeeEwaaaa mambo yanaenda kwa rika hayo kukimbizana usiku kucha unahama viwanja kwa umri wa utu uzima nayo sio, kwa mangi unakaa na wazee wenzio wawili watatu story kidogo unakula monde unarudi home mapema na unakua karibu na nyumbani, vijana damu bado imechemka wanaenda kuangalia makalio ya wahudumu,
Dah! Kuna bar maarufu ya zamani nilienda gongo la mboto siku ya muungano wahudumu walikuwa wengi kuliko sisi wateja.FM Academia pale La Chaaz wamemuimbia juzi mteja mmoja tu, wimbo wa happy birthday Hadi huruma.
Mbeya watu Wana pesa ila kuhusu burudani yani Bata kama Bata hakuna, kama Arusha tu watu wa uko Wana kelele Arusha Arusha ila napo ndio vile vile tz ni Dar, Mwanza kahama, na Morogoro watu wanajiachia jamaniMbeya pazuri siielewi kabisa kwa vibe naikumbuka Shaba Pub ya enzi zile ilikua soweto ilikua unatoka lusaka unawaza ufike haraka shaba pub ule nyama walikua na jiko safi plus mtungi wa maana
Nguvu za giza babu zimejaa Kitambaa cheupe.Umeonge kikawa8da sana hakuna siri iliyotoka hapo? Toa siri kwanini watu wanajaa kitambaa cheupe lakini 5N kweupee wakati huduma zote zipo pia?
Mshana Jr pls validate the validity of this claim?Nguvu za giza babu zimejaa Kitambaa cheupe.
Kazipiga giza bar zote karibu yake.
hawaombi,wao wanapiga tu,haya mambo ndio yalinifanya nipachukie Dar Live maana ilikuwa kawaida kutokea kwenye gazeti unabambia...Pia nimewahi sumbuana na uongozi wa Hotel fulani baada ya kuniweka kwenye page yao ya insta nikiwa kwenye beach yao.Hivi hizi picha zinazopigwa na kumbi za starehe, huwa wanawaomba ruhusa wahusika?
Aise, hawajamaa hawaheshimu privacy ya mtu kabisa. Ipo siku itakuja wacost.hawaombi,wao wanapiga tu,haya mambo ndio yalinifanya nipachukie Dar Live maana ilikuwa kawaida kutokea kwenye gazeti unabambia...Pia nimewahi sumbuana na uongozi wa Hotel fulani baada ya kuniweka kwenye page yao ya insta nikiwa kwenye beach yao.
meeda mbona imefungwa na apo ndo kitambaa cheupe mkuu umechanganya filesMeeda mpaka leo inajaza full
Mie huwa nakosa parking inabidi nikaegeshe mtaa wa pili huko
Mbona bado naona bango kubwa limeandikwa "Meeda Investment".meeda mbona imefungwa na apo ndo kitambaa cheupe mkuu umechanganya files
Labda ndio kafara, ametolewa kafara na binti yake biashara zinogeHuyo King Kikii si nilimuona kwenye TV anaumwa anaomba msaada... Dah
Na ndiyo Drugs Barons Headquarters.Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Hiyo Meeda investments ndio wamewakodishia eneo wenye Kitambaa cheupe, na ndipo ilipo hapoMbona bado naona bango kubwa limeandikwa "Meeda Investment".
Na wala sioni mahali pameandikwa Kitambaa
Naona wako kwny kiwanda Cha kutengeneza kisukari.
Boss mahundi katangulia mbele ya haki.Haha shentembaa enzi hizo nakaa Hanna Nassif shentembaa ilikuwa noooma
Bwana bwana...apumzike kwa amaniBoss mahundi katangulia mbele ya haki.
ebana eeee yan madem walivyo wazuri kuna wadau wanafata mapunga ...ama kweli zama zimebadilikaHuyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa
nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
ama chu chu chu chuuuu
dahebana eeee yan madem walivyo wazuri kuna wadau wanafata mapunga ...ama kweli zama zimebadilika