Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Ama kuamkia 'shikamoo' makamo mamoja ama kwa mdogo kwake kiumri!Sasa kama mtu aliyemzidi miaka mitatu anamuita mother si amegoma kuwa rika moja naye? 🤣🤣🤣
Anagoma kumuita sister anasema mother huko ni kugoma kuzeeka pamoja na wa rika lake.
Huyo ni kataa ndoa tu.Ila tuseme ukweli Kuna waume wengine Ata kuhudumia atak lkn anataka akirudi akute chakula kizuri asipo pewa unyumba analia ila ndoa 💔
Soma ujumbe nilioandika ,nafasi ya mume iko wapi kama mkewe anapata tabu?Ficha siri za watu kijana, mpaka anakuja kukopa kwako ni kwasababu kakuamini kua huwezi kumdhalilisha wala kumdhania vibaya na kumtangazia mbele za watu.
Hutaki kumkopesha mchane kua hutaki, umepata gagaziko muulize mwenyewe huyo mumewe namna gani vipi hadi aje kwako.
Hao wanaamkia cheo mkuuAma kuamkia 'shikamoo' makamo mamoja ama kwa mdogo kwake kiumri!
Lakini bhana nikiwa na mamlaka flani kwenye ofisi flani, nilishangaa kuanza kupigwa shikamoo kavu kavu na watu wanaonizidi umri!
Nikaona sasa haiwezekani ni uchuro huu, nikamdaka mzee mmoja alikuja ofisini baada ya kuniamkia hiyo 'shikamoo' yake😄😄😁
Mzee mjanja mjanja hivi, nikamuuliza kwanini anamiamkia badala asubiri mimi nimuamkie?
Mzee yule hakuuma uma maneno, bali alinichana live:... 'bwana mdogo, hapa sikuamkii wewe, naiamkia ofisi, salamu hii ni mahsusi kwa ajili ya kuheshimu ofisi, sawa na askari anvyopiga saluti akiingia viunga vya mahakama akiona picha ya Rais'...
'Hii shikamoo yangu hauwezi kuipata nje ya ofisi na wadhifa wako'...
'Fukuzwa ama acha kazi uone kama mtu atajinyenyekeza kwako'...
Sikujibu lolote nikabakia ghaa natafakari.
Hapo kwenye unyumba hapo!unapomnyima kwani wewe huna ham!!?na kama unayo nani anakutimizia ham yako Hadi unyime huyo!!?Ila tuseme ukweli Kuna waume wengine Ata kuhudumia atak lkn anataka akirudi akute chakula kizuri asipo pewa unyumba analia ila ndoa 💔
Unakazia unyumba tu kwamba umo ndani tufe njaa kisa ngenye zako lol🚮🚮Hapo kwenye unyumba hapo!unapomnyima kwani wewe huna ham!!?na kama unayo nani anakutimizia ham yako Hadi unyime huyo!!?
Nakazia👿Wanawake wanapenda sana kukopa kopa
Halafu huwa hawalipi mwisho wa siku waume zao wakisafiri wanatoa shukuraniHabari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Mwanaume ni sawa labda afanye utapeli, ninavyojua mimi ni kwamba mke akishindwa kupata uhitaji wa kila ni lazima amuambie mumewe ,mume akishindwa basi mume anaweza kukopa kwa ajili ya mkewe .Je na mwanamme anayekopa mtu asiye mke wake pia ni sawa .Mimi kuna mfanyakazi mwenzangu ,tulikuwa tuna share office akanikopa wakati huo 1m plus hivi hakaniambia nikipata mshahara tu nakurudishia.I waited forever .Akapata kazi nyingine nzuri sana ,sikuonana naye for more than 10yrs nikakutana naye ghafla ananunua vitu supermarket moja nikamsalimia sikumwuliza chochote kwa kuna najua ni mtu mzito tu mahali ila namba ya simu alibadilisha .Haikupita wiki mbili baada ya kukutana nikapata taarifa amefariki ,so sad.Anyway ,nilishamsamehe ndio maana sikutaka hata kumwuliza.My take ni kuwa kuna dhambi ndogo ndogo zinakufarakanisha na Mungu(kwa mnaoamini) au kutokukupa baraka za maisha including afya njema.Tujitahidi kukopa na kurudisha ili baraka zikujie. Methal 22:7 na Zaburi 37;21.Week end njema
Unajifanya huwajui wanaume wewe!Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
VizuriMie mke wangu hajawahi kukopa
Sahii kbs, Mke anaona mme haelewekiNdoa zinasiri nying kunawanaume hawahudumii wakezao Zaid ya chakula
Kuhusu mavazi,wazazi wa mke hata wakiumwa hamna kitu anafanya