Itokee wapi hao wakunya wanataka leta mazoea.Nikumbusheni kuna case gn ya Kenya, mtanzania aliwahi kwenda kufatilia huko kama alivyofanya huyo mama
Naomba video akitetemekaMpaka katetemeka Rais wetu.
Hata hao chadema hawakwenda kweli? 😂Itokee wapi hao wakunya wanataka leta mazoea.
Ipo mkuu nimelia sana Rais wetu mpendwa anavyoumia.Naomba video akitetemeka
Mlienda mkazuiwaNikumbusheni kuna case gn ya Kenya, mtanzania aliwahi kwenda kufatilia huko kama alivyofanya huyo mama
Naomba hy video sitak ngonjeraIpo mkuu nimelia sana Rais wetu mpendwa anavyoumia.
Wasalimie ChatoIpo mkuu nimelia sana Rais wetu mpendwa anavyoumia.
Walienda hawakuzuiwa kwahiyo haikuwa habari. Ila hawa tumewazuia na ndio maana imekuwa habari kubwa. Kama wangeruhusiwa hakuna ambaye angejua wakenya wapo hapaNikumbusheni kuna case gn ya Kenya, mtanzania aliwahi kwenda kufatilia huko kama alivyofanya huyo mama
Sawa em nione hy video wakiwa huko kenya nione nataka kujifunza jamboWalienda hawakuzuiwa kwahiyo haikuwa habari. Ila hawa tumewazuia na ndio maana imekuwa habari kubwa. Kama wangeruhusiwa hakuna ambaye angejua wakenya wapo hapa
Mapendo ya kinafiq watu hawataki. Unateka na kuua watu halafu unasema mapendo 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Unapoamu kutaka mapendo halafu waja wanakuletea chuki
Umeelewa nilichokiandika?Mlienda mkazuiwa
Ipo mkuu nimelia sana Rais wetu mpendwa anavyoumia.
Wewe ulitekwa lini?Mapendo ya kinafiq watu hawataki. Unateka na kuua watu halafu unasema mapendo 🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi kuiona kwasababu haikuwa habari wao kuwa kule. Hata hawa wangeruhusiwa, wasingekuwa habari na tusingewaona piaSawa em nione hy video wakiwa huko kenya nione nataka kujifunza jambo