ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Nimeelewa sanaUmeelewa nilichokiandika?
Unalalama ati kwanini waje Tanzania wakati kwenye majambo Yao hatuendagi kwao
Nimeelewa sanaUmeelewa nilichokiandika?
Ww umejuajeHuwezi kuiona kwasababu haikuwa habari wao kuwa kule. Hata hawa wangeruhusiwa, wasingekuwa habari na tusingewaona pia
Sawa bossNimeelewa sana
Unalalama ati kwanini waje Tanzania wakati kwenye majambo Yao hatuendagi kwao
Nimekuuliza ukienda Kenya kufatilia hiyo kesi ukafurushwa?Sawa boss
Nikumbusheni kuna case gn ya Kenya, mtanzania aliwahi kwenda kufatilia huko kama alivyofanya huyo mama
Kuna utofauti gn kati ya swali langu na hili lako?LAbda tukuulize pia, kuna mwanasheria gani wa Tanzania aliwahi kwenda Kenya kusikiliza kesi, halafu alifurushwa?
Ndo mnikumbushe kuna case gn mtanzania alie da huko kenya, mwenzako hapo amekimbia swali langu amebaki kupiga domo tuuNimekuuliza ukienda Kenya kufatilia hiyo kesi ukafurushwa?
Walienda wakaruhusiwaNdo mnikumbushe kuna case gn mtanzania alie da huko kenya, mwenzako hapo amekimbia swali langu amebaki kupiga domo tuu
Ni uelewa tu wa kawaida. Mfano yule aliyekuwa hotelini hakuna mtu ambaye alimzingatia. Ila tumemjua baada ya polisi kwenda kumkagua. Kwahiyo polisi wasingeenda, tusingejua. Hivyo hivyo kwa hao walioshikiliwa airportWw umejuaje
Kweli kabisa akaona atolee na ufafanuzi kabisa .Huku akimwacha tlaaatlaah wake akibubujikwa na machozi Lisu kurudi seroMpaka katetemeka Rais wetu.
Inasikitisha sanaNikumbusheni kuna case gn ya Kenya, mtanzania aliwahi kwenda kufatilia huko kama alivyofanya huyo mama
Hujajibu swali langu.Ni uelewa tu wa kawaida. Mfano yule aliyekuwa hotelini hakuna mtu ambaye alimzingatia. Ila tumemjua baada ya polisi kwenda kumkagua. Kwahiyo polisi wasingeenda, tusingejua. Hivyo hivyo kwa hao walioshikiliwa airport
Naomba ushahidiWalienda wakaruhusiwa
Leta ushahidi wa Watanzania waliofushwa kwenye mahakama za KenyaNaomba ushahidi
Swali lako nimejibu ila una marking scheme yako kichwani. Ni vizuri pia, sio mbayaHujajibu swali langu.
Siku nimekuoa.Wewe ulitekwa lini?
Ni kweli huyu Mama sasa nchi hii imemshinda, anaboronga ile mbaya mpaka kumchagua Steve Nyerere kuwa msemaji wake mkuu
Ukiqa ntu wa kukasirishwa kasirishwa na habari hufai kuwa rais, usiwe rais.
KARUA mwenyewe uso UMEMLEGEA kama PUMBU za MZEE!!!