Inawezekana hii habari ilimkasirisha sana Rais Samia!

Nikumbusheni kuna case gn ya Kenya, mtanzania aliwahi kwenda kufatilia huko kama alivyofanya huyo mama

LAbda tukuulize pia, kuna mwanasheria gani wa Tanzania aliwahi kwenda Kenya kusikiliza kesi, halafu alifurushwa?

Ufahamu pia kuwa Lisu ni mwanachama wa chama cha wanasheria wa East Africa. Kuna ubaya gani wanachama wenzake kuja kusikiliza kesi aliyobambikiwa mwanachama mwenzao, na utawala wa kidikteta?
 
Mbona TFF ILITUMIA WANASHERIA TOKA KENYA KWENYE KESI YA YANGA KULE CASS
 
LAbda tukuulize pia, kuna mwanasheria gani wa Tanzania aliwahi kwenda Kenya kusikiliza kesi, halafu alifurushwa?
Kuna utofauti gn kati ya swali langu na hili lako?
 
Ndo mnikumbushe kuna case gn mtanzania alie da huko kenya, mwenzako hapo amekimbia swali langu amebaki kupiga domo tuu
Walienda wakaruhusiwa
Nyie kwanini muwafurushe?
 
Ni uelewa tu wa kawaida. Mfano yule aliyekuwa hotelini hakuna mtu ambaye alimzingatia. Ila tumemjua baada ya polisi kwenda kumkagua. Kwahiyo polisi wasingeenda, tusingejua. Hivyo hivyo kwa hao walioshikiliwa airport
Hujajibu swali langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…