Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Mpumbavu sana wewe juha,let the truth prevail, njaa mnayo nyie CCM ndo maana kila upumbavu mnasifia ili mlipwe Buku 7
 
Lile jaribio lilifanywa na wapumbavu waliokuwa na uwezo wa kupata silaha sababu ya vyeo vyao thus halikuwa la weledi
 
Killing of people is the temporary solution not permanent
 
Reactions: Ame
Huyo Mungu wa kukasirishwa na kuuwawa kwa "lisariti la nchi" sijui ni Mungu gani aisee..
 
Reactions: Ame
Lissu hajawahi kuwa na njaa, hadharani alimkejeli Magufuli kuhusu kumteua, alimwambia kuwa yeye sio kama wale wa majalani

Lissu kujiamini kwake hakuna ulinganifu nchi hii so hawezi kukubali uteuzi wa Samia.
 
Hivi wewe unaamini katika nchi hii kiongozi wa upinzani anaweza kutekeleza mauaji ya mtu maarufu kama Wangwe akabaki salama? Kweli?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

..kama Chacha Wangwe angekuwa ameuawa na Mbowe, basi leo hii wanawe Chacha wasingekuwa wanachama wa Chadema.

..pia Chadema walim-recruit Lissu wakati akiwa ktk harakati za kumtetea Chacha Wangwe na wachimbaji wadogo wa Nyamongo.

..Mbowe angekuwa amehusika kumuua Chacha serikali ya CCM ingekuwa imeshamnyonga sasa hivi.
 
Swali gumu hapa ni kuwa gari la Lissu lililoshambuliwa lilikuwa left or right handed?

Kama ni magari yetu haya ambayo bos hukaa kushoto, iweke Lissu aliumia mguu wa kulia badala ya kushoto ili hali dereva wake hakuumia?

Wajuvi wa mambo hebu andikeni kwa vina nipate kuelewa.

Povu si busara wapendwa.
 
Hilo limeelezwa mara kibao ila kwakuwa wewe ni mbili kimo wa akili baki na ujinga wako.
 

Hapa ndipo uwezo wako wa kufikiria unapoishia? Sio bure; huu ni ugonjwa!

Mungu angekuwa anafanya mambo yake kwa style hii ya kibinadamu, basi hapa duniani asingekuwepo kiumbe yeyote aitwaye shetani; Mungu angekuwa ameshamalizana naye kitambo sana!
 
Hili la Lisu litawasumbua sana kichwani maana hata kama huamini karma au mungu kwa yanayotokea unaweza kuanza kuamini, hata uchunguzi kulikuwa hakuna na walikuwa busy kupora ubunge wake na mshahara wake, mambo ya aibu sana na inaonyesha jinsi walivyohusika na walivyojisahau
 
 
Aisee, we mpumbavu mungu yuko busy na mambo ingine limuumize la huyo pimbi mkimbizi?.
We pumbavu sana katika wote niliowasoma mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…