Naamini unamjua aliyefanikisha upatikanaji wa ile ndege ya kukodi iliyompeleka Lissu Nairobi, ilitafutwa nani, ni mwana CCM!. Pia natumaini unafahamu pia ililipiwa na nani?, kama ulikuwa hujui, basi ujue ndege ile ililipiwa na mbunge wa CCM ndiye aliyetoa fedha kuilipia, wakati huo Chadema walikuwa Apeche Alolo!, ila walipopata fedha walimrudishia fedha zake.
Sisi ma CCM contemporary wengine pia ndio tulisaidia kwa hali na mali, na hata
kabla ya Lissu kushambuliwa, jee unajua ni nani walio mshauri kugombea?.
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
P