Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Hoja yangu haipo katika kujadili kuwa alipigwa au hakupigwa na nani...Hoja yangu ni kwenye root of the problems not outcomes...Kwanini ameshiriki dhambi ya kumsaliti mtu asiye kuwa na hatia? I.e mtanzania wa kawaida asiyejua kulia wala kushoto? Hayo mengine atajuana na waovu wenzako...Why is he playing a victim yet he is the cause of all this confusion?

Hata yeye karma haitamwacha kama ipo...God is justice, sovereign and all mighty!
Utakuja kuelewa huo unaoita "usaliti" wa Tundu Lissu. Aliyeshindwa kujadili kwa hoja ili wananchi tuujue "usaliti" wa Lissu aliamua kutumia hiyo lugha na baadhi ya watu walimuamini. Badala ya kutumia hoja, zilitumika nguvu ambazo hazikuzidi nguvu za Mungu. Jipe muda utakuja kuujua ukweli.
 
Kijana hata kama una njaa, jaribu kutumia njia nyingine nzuri ya kujipatia riziki ya halali. Acha kumuhusisha Mungu na upuuzi wako. Ila kama wachawi na waganga wa kienyeji nao hujifanya kumtanguliza mungu ktk ushenzi wao, basi sishangai kwa mleta mada kumuhusisha ktk upuuzi wake. Najua katibu mkuu atakutumia bando na buku 5 ya kula, lkn huko ulipo utaendelea kuteseka, kwa kosa la kuuza utu wako sababu ya njaa yako.

mbona juzi waziri majaliwa kamtaja mungu kuwa analinda nchi.mwendazake alimtumia sana kufichia maovu yake.
ccm bwana bora kuzaliwa al shabab ukaishi porini kuliko kuishi mjini na internet,mavitabu na nyumba za ibada.
 
Mbona ninyi makada wa CCM contemporary hamukwenda kumuangalia Lissu Nairobi?
Naamini unamjua aliyefanikisha upatikanaji wa ile ndege ya kukodi iliyompeleka Lissu Nairobi, ilitafutwa nani, ni mwana CCM!. Pia natumaini unafahamu pia ililipiwa na nani?, kama ulikuwa hujui, basi ujue ndege ile ililipiwa na mbunge wa CCM ndiye aliyetoa fedha kuilipia, wakati huo Chadema walikuwa Apeche Alolo!, ila walipopata fedha walimrudishia fedha zake.

Sisi ma CCM contemporary wengine pia ndio tulisaidia kwa hali na mali, na hata
kabla ya Lissu kushambuliwa, jee unajua ni nani walio mshauri kugombea?.
P
 
Naamini unajua ile ndege ya kukodi iliyompeleka Lissu Nairobi, ilitafutwa na wana CCM!. Pia natumaini unafahamu pia ililipiwa na nani?, kama ulikuwa basi ujue ni mbunge wa CCM ndiye aliyetoa fedha kuilipia, Chadema walikuwa Apeche Alolo!.
Sisi macontemporary wengine pia tulisaidia kwa hali na mali, na hata
kabla ya Lissu kushambuliwa, jee unajua ni nani walio mshauri kugombea?.
P
Pascal don't go that much low brother! Yule mbunge marehemu sasa, alishughulikia swala la kupata ile ndege kwa dharula kwa misingi ya kibiashara pia sio kama unavyotaka kuaminisha watu hapa kwa mbinu zilezile za wazee primitive ndani ya CCM.
Hivi ulimwengu wa leo mbinu za kudanganya bado ziko kikale namna hii? Au nawe Pasco mzee mwenzangu umekubali kuwa outdated kwenye upataji na upashanaji habari?
 
Anayewaza kwa kutumia akili hawezi KUJA na andiko kama hilo au hata KUKUBALIANA tu na andiko kama hilo. Vinginevyo, kuwaza kwa kutumia akili kungekuwa completely meaningless!

Katika Isa 55:8-9 SUV imeandikwa: Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Wewe mbona unabishana na ukweli? Mungu anatenda kwa wakati wake hachelewi wala hawahi. Mawazo yake sio kama yako unavyotaka tuamini. Mwandishi kasema je inawezekana??
 
Umeandika vizuri ila hapo mwisho ndio umeharibu
Yaani Lissu apewe zawadi ya ubunge unafikiri Lissu ni Bashiru au Polepole

Acha ujinga
 
Mungu anasema kipimo unachompimia mwenzako ndicho utachopimiwa! Je neno hili limetimia? Hatumuhusishi Mungu Kwa bahati mbaya
pia maandiko yanatufundisha tusihukumu na anayepaswa kuhukumu ni Mungu pekee.
 
Naamini unamjua aliyefanikisha upatikanaji wa ile ndege ya kukodi iliyompeleka Lissu Nairobi, ilitafutwa nani, ni mwana CCM!. Pia natumaini unafahamu pia ililipiwa na nani?, kama ulikuwa hujui, basi ujue ndege ile ililipiwa na mbunge wa CCM ndiye aliyetoa fedha kuilipia, wakati huo Chadema walikuwa Apeche Alolo!, ila walipopata fedha walimrudishia fedha zake.

Sisi ma CCM contemporary wengine pia ndio tulisaidia kwa hali na mali, na hata
kabla ya Lissu kushambuliwa, jee unajua ni nani walio mshauri kugombea?.
P
Mbunge Salim Turky wa Jimbo la Mpendae Zanzibar (R.I.P) ndiye aliyetoa dhamana ya Dharura kwa Kampuni ya Ndege ya Kenya ndani ya muda mfupi ili apate usafiri wa dharura.

Mungu amrehemu aliyekuwa Mbunge Salim Turky
 
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Hapo unaunga unga tu matukio. Hii ni ramli unapiga
 
Lissu sio wakawaida, 2020 wakati anazindua kampeni ,alipofika Mbeya nilikua Mbeya,akafika pale soko la nzovye zindua msingi, nilikua karibu ,kumuona nilisikia mwili watetemeka, WENDA ningemgusa mkono ningezimi,

Wengine wakamuona biashara kama kawaida leo wamezikwa mwamba anadunda, Upako wa lissu sio wa Dunia hii, WENDA hata yeye hajui
 
Mkuu kosa kubwa walifanya 28 October 2020 waliua watu wengi kule Zanzibar na hata Bara...dhulma kubwa ile waliyoifanya hawatarudia tena 2025.
 
Mbunge Salim Turky wa Jimbo la Mpendae Zanzibar (R.I.P) ndiye aliyetoa dhamana ya Dharura kwa Kampuni ya Ndege ya Kenya ndani ya muda mfupi ili apate usafiri wa dharura.

Mungu amrehemu aliyekuwa Mbunge Salim Turky
Mkuu Pythagoras , kwanza asante kwa jina hili, ulipaswa uongeze kuwa huyu ni mbunge wa CCM. Kuna watu humu wanadhani wana CCM wote ni mashetani!, huu ni uthibitisha wapo wana CCM wenye roho nzuri sana na ndio waliomuokoa Lissu akaweza kwenda Nairobi.

P
 
Lissu sio wakawaida, 2020 wakati anazindua kampeni ,alipofika Mbeya nilikua Mbeya,akafika pale soko la nzovye zindua msingi, nilikua karibu ,kumuona nilisikia mwili watetemeka, WENDA ningemgusa mkono ningezimi,

Wengine wakamuona biashara kama kawaida leo wamezikwa mwamba anadunda, Upako wa lissu sio wa Dunia hii, WENDA hata yeye hajui
Mimi nilimuona kwa Short Distance Mara ya Kwanza Kawe Tanganyika parkers siku ya kufunga kampeni. Kuna namna nilikuwa najisikia isiyo ya kawaida.

Sisi watu wa kiroho tunamchukulia tofauti kabisa na watu wengine wanavyomuona.
 
Mkuu Pythagoras , kwanza asante kwa jina hili, ulipaswa uongeze kuwa huyu ni mbunge wa CCM. Kuna watu humu wanadhani wana CCM wote ni mashetani!, huu ni uthibitisha wapo wana CCM wenye roho nzuri sana na ndio waliomuokoa Lissu akaweza kwenda Nairobi.

P
Ni kweli kabisa Hata Pale Dodoma baadhi ya madaktari ni wanaccm pia walimuokoa.
 
Wewe mbona unabishana na ukweli? Mungu anatenda kwa wakati wake hachelewi wala hawahi. Mawazo yake sio kama yako unavyotaka tuamini. Mwandishi kasema je inawezekana??

Hiyo ni faulty and hopeless thinking! Lissu sio Mtanzania wa kwanza (na hawezi kuwa Mtanzania wa mwisho) kushambuliwa criminally. Wapo watu wengi wasiokuwa na hatia waliopata (na watakaopata) kushambuliwa criminally na wengine hata kuuawa kabisa!

Mseme kama kwenu Lissu ndiye Yesu (mwana pekee wa Mwenyezi Mungu)!
 
Back
Top Bottom