Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?


Gentleman,
nimetekeleza wajibu wangu wa kueleza ukweli kikamilifu,
matokeo ya kushupaza shingo ni juu ya kaidi yeyote yule,

neno langu la mwisho kwako ni kutoka Zaburi 23:1
Tembea mstari huo moja tu na Mungu atakubariki sana na kukutoa katika ubabaifu na mahangaiko yako ya kila siku hasa humu jukwaani,

Kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Aimen.

umwambie na mwenyekiti wa chama chako
 
Mwandishi anatuasa tusijijadili Mtu, Lakini bandiko lake linatuelekeza huko.

Mfano Aya hii Moja;
" inawezekana ni kweli kabisa yuko real very busy sana,na hapati kabisa muda wa kutusoma?,kututazama na kutusikiliza,awategemea zaidi wasaidizi wake tuu!"

Sasa nani Yuko busy? Nani hapati muda wa kutusoma? Bila shaka itazungumziwa MTU.

Otherwise mada ni nzuri sana.
 
Mh. Pasco, naona kweli sasa umeamza kuwa mzee. Ukiendelea hivi hivi, ukiondoa woga na vitu vingine, sasa huko mbeleni utakuwa MZEE mwenyewe "HEKIMA na BUSARA"
Basi, kwako na wengine, ombi langu ni : 1. Naomba tuwekeeni nakala ya"Rasimu ya Katiba ya WARIOBA (Mzee Joseph Warioba et Al)
2. Nakala ya badiliko ya Sheria "Batili ndani rekebisho la kifungu Batili cha Katiba ya Zamani.
Hii itasaidia baadhi ya "Watoto wetu ambao wameshaanza kuwa Batili kimawazo na kuwa Machawa Batili kwa ubonafsi wa njaa za matumbo yao, wakisahau uzalendo kwa faida ya vizazi vijavyo!
Kwa andiko lako hili, nakupongeza, na nawaomba wengine wasome between the lines
Nakala Tafadhali.
 
Acha malalamiko Katiba ya hii nchi ilianza kuikanyaga Nyerere na marais wote wamekuwa wakifanya hivyo-kujifanya unaona kwa SAMIA.hata baada ya kuondoa hivyo vifungu vilivyokuwepo toka 1977 ni nini kama nchi imekifanikisha kwa kuwepo huyo mgombea binafsi??,

Mabadiliko duniani huwa yanaanzushwa na mtu moja kwa kushawishi wengine,kama unaona kuna mambo yapo hovyo organise watu anzisha maandamano au pindua Serikali-hakuna mabadiliko yanakuja kwa njia ya kulalalmika wala kwa maandishi.
 
Watanzania bwana wanapenda sheria nzuri,mausha mazuri huku wakiwa kwenye majabishano ya simba na yanga.Lissu akiitisha maandamano kwa ajili ya kubalisha kitu hakuna anayetoka.
 
Wewe utarudi kudindini ,kama wasema no jitekenye tu , wewe sio kilaza wa kukaa ccm ,wewe na Mayalla, na mwambie Mayalla ,asema Bwana wa 4 7mbatizaji
 
Paskali huwa anauma na kupuliza. Inaweza kuwa ndiyo sababu hupati "teuzi". Upande ule hawakuelewi. Wanataka chawa anayeshikilia upande wao no "matter what happens". Hata Katiba ikisiginwa wewe jifanye kama hujaona. Weka taaluma yako pembeni, endelea kuwa chawa....... Inasikitisha sana.

Back to the point:-
Kwa hapa tulipofika mabadiliko ya kweli hayataletwa na wanasiasa. Siku Wananchi wengi watakapoamua, kuwa sasa imetosha na wakaamua kuchukua hatua stahiki bila kujali tofauti zao za kiitikadi, hapo ndipo mabadiliko ya kweli yatakapopatikana.
 
Wewe utarudi kudindini ,kama wasema no jitekenye tu , wewe sio kilaza wa kukaa ccm ,wewe na Mayalla, na mwambie Mayalla ,asema Bwana wa 4 7mbatizaji
gentleman,

zaburi 23:1 ikutegemeza, na
zaburi 27:1 ikuimarishe sana.

Mungu akubariki sana,
na usisahau, uchaguzi mkuu ni october mwaka huu 2025
 
Wewe ni punguani sana umeshatembelea Tanzania yote? Kuna sehemu hakuna maji kabisa mfano ni hapa Dar kuna sehemu hawana maji. Elimu gani unayozungumzia? Acheni kupotosha hapo ulipo una maisha magumu sana. Hatuwezi kushiriki uchaguzi wa kijinga huu.
 
usisahau kwamba watunga sheria/wabunge nao wanahitaji kupata ushindi huko majimboni mwao kwa kutumia mwanya wa sheria hafifu na zenye kutoa mwanya wa ushindi kwao.
 
Mi nazani kauli ya no reform no election iwe ya watanzania wote wenye uelewa bila kujali itikadi za vyama vyetu.
 
Back to the point:-
Kwa hapa tulipofika mabadiliko ya kweli hayataletwa na wanasiasa. Siku Wananchi wengi watakapoamua, kuwa sasa imetosha na wakaamua kuchukua hatua stahiki bila kujali tofauti zao za kiitikadi, hapo ndipo mabadiliko ya kweli yatakapopatikana.
Thanks ,

Point kuwa na adabu, miccm mpo na ubongo wa kuku
 
Umeanza lini kuwa muoga pascally yaani kutaja neno rais, au sa100 unaogopa?
😀Sa100!!!
Hoja za CDM na Tundu Lissu unazisema kwa kinafiki.
Unaweza sema kiburi Tu tumeshasema tunataka karibu mpya na tume huru na gharama tumepoteza fedha Hadi maisha ya watu.
Kama siyo kiburi chake NI nini?
Bandari kauza!
Mbuga kauza!
Nini hiki?
 

Kama haoni au haelewi obvious things how can we trust her on bigger things...!!?
 
Chai
 
Ni kujibalaguza tu, hakuna lolote lile la maana.

"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
Martin Luther King Jr
No reform, no Election

Mayala kwa Kisukuma ni Njaa, Mayala hoyee

Pumzika unapostahili Mwendakuzimu Jiwe
 
Anayetembea na bahasha mkononi zilizokwisha fungwa, kura zake zimekwisha patikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…