Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

CDM imempatia OFA ya kuendelea kusalia madarakani kwa miaka 3 zaidi ili atuletee KATIBA MPYA, ngoja tuone kama ataendelea KUSHUPAZA SHINGO.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali.
============
  1. Muda uliopo unatosha,kufanya minimum reforms za katiba kwa hati ya dharura,kuucholopoa huo ubatili uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu na kuifanya iwe ni katiba safi na halalii
Naunga mkono hoja.
  1. Watanzania walitaka Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi,na sio kuibadili tuu jina kutoka Tume ya Uchaguzi NEC,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi INEC,lakini tume ni ile ile,watu ni wale wale!. Tume Huru ya Uchaguzi is the right thing,tuirekebishe,isukwe upya na iwe shirikishi!。
  2. Creation of level playing field kwenye the game of politics。The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni, mfano, kuna mgombea mmoja anaingia kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi, anatoka chama dola, anatembea na dola, misafara mirefu na vingora, media, 2025 sio media tuu, media, Bongo movie, Bongo Fleva, Social media influences, mpaka ma chawa, na wasaidizi huku budget yake is fully footed by state, kwasababu ni head of state ashindane na wagombea kutoka chama makapuku!, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili, huku mmoja ameshika kwenye mpini! unategemea nini?.
Watanzania tunatakiwa tutafakari kwa pamoja,tufanye nini ili kupata haki zetu za msingi za kidemokrasia na uchaguzi wa 2025 ukawa uchaguzi huru na wa haki?

Paskali
Mada inajieleza hata bila ya muktadha.

Mkulu Pascal Mayalla , heshima yako.

Kuh angalizo:

Mzee wetu ninaelewa fika unyeti wa wa suala hili. Nonetheless, kwasababu swala hili linajadiliwa "Where we dare speak openly" naamini ingenifaa na mm Nkaburu kuwa na uthubutu na nikatia neno😁, kujibu swali, na kutoa maoni, bila ya kuwakwaza wazee wangu.

Itifaki imezingatiwa.

Tukizingatia swali la msingi katika mada, (subject matter) naomba kujibu ifuatavyo.

Nafikiri itakuwa sahihi kusema swali linauliza hivi:

Ukizingatia kama mtu anaweza kuwa na kiburi au yupo bize, unawezaje kutathmini tabia na matendo yake? Je, unadhani wasaidizi wana jukumu gani katika kumfahamisha kuhusu masuala muhimu kamavile katiba na Sheria ya Uchaguz? Hatimaye, ni hatua gani zichukuliwe kutafuta haki katika suala hili nyeti na gumu?

Changanuzi

Swali #1

  • Je ana kiburi, jeuri au yupo busy?
  • Nauliza, Je , ana sifa za kuwa Jeuri na Kiburi au yuko busy?
Jibu la haraka linaweza kupatikana hapo chini. Ni makala ya Pascal(nimelifupisha for clarity) ikijibu sifa zake na Ubize wake.
hiyo inatuambia ni msikivu na yupo bize na vipaumbele vya uchumi kwanza na hivyo basi tunaweza watupia lawama wasaidizi?

Swali #2
  • Je, Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi
  • Nauliza, Je, wasaidizi wake wamemwelezea kuhusu ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?
  • Zingatia, wasaidizi wake hawaishii magogoni peke yake, Wabunge nao, wanahusika pia.
Kwa msingi huo, Jibu la haraka linaweza jibiwa hapa chini kwenye makala ya Pascal
Binafsi naona Bunge linahusika kwa kiasi kikubwa na ubatili huo wa Katiba na mapungufu yaliyomo kwenye sheria ya Uchaguzi, hivyo lawama zilekezwe huko?

Swali #3
  • Je, tufanye nini kutafuta haki?
  • Nauliza, Je, tuchuke hatua gani kutafuta haki?
Nadhani jibu sahihi lipo, ukizingatia Chama kimoja kishasema na kupendekeza, No Reforms, No Elections, ikiwa ina maana, bila ya marekebisho muhimu ya katiba na sheria ya uchaguzi, Uchaguzi hautofanyika, piga ua?

Halikadhalika, napingana na hilo juu, kwani mabadiliko haya yanapaswa kuwa na faida kwa Watanzania wote ni sio kwa ajili ya chama kimoja tyu.

Tuchukue hatua gani?

Binafsi sishiki bunduki, nchale, fyekeo, chepeto, kuyalazimisha marekebisho/mabadiliko🤭

Napendekeza, kauli iseme "Together, For Truth and Justice" itushirikishe Wananchi wote

Maoni:Bunge Liwajibishwe🏌‍♂️
 
Mkuu Asumani, othuman dan fodio , sio uoga, nafundisha watu kujadiki hoja na sio kujadili watu!.
Hapa swali ni tufanye nini?.
P
Pascally hata kama unafundisha watu kujadili hoja lkn kwa mtu unayemzungumzia code zipo wazi kulikuwa hakuna haja ya kuficha kwa kiwango hicho.

Imagine wewe ni mwanasheria by proffesional ambapo jamii inajua sio watu waoga itakuaje kwa mwalimu wa upe?
 
Mkuu Asu, othuman dan fodio , lengo la kuepuka kutaja majina ni kingio la kutunza staha za watu, ningemtaja kwa jina, saa hizi angeisha ogeshwa kwa ... ya kutosha!.
P
 
Hili ni bandiko la swali,huu ni mwaka wa uchaguzi,kuna vitu tumekuwa tunaviomba vifanyike kabla ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2025, mpaka sasa tumeingia mwaka wa uchaguzi,badhi ya vitu hivyo,vimefanyika,baadhi vimefanyika but not the right way,na vingine havijafanyika kabisa ikiwemo the most important,mabadiliko madogo ya katiba。
Vikibadilika tutapoteza our greenish Pascal Mayalla
 
Mambo ni mengi sana hasa mvutano wa kisiasa katika kukwamishana kisiasa,, lakini nijikite kwenye swali lako la mwisho...Watanzania tunapaswa kwa umoja wetu kuipazia serikali kuwa tunataka haki yetu ya kikatiba sambamba na kupata katiba mpya nasio wakuwaachia viongozi pekee walisemee hilo,, mfano. sehemu sahihi ya watanzania kufikisha ujumbe ni kwenye matamasha,mikutano, miyaliko mbalimbali ya viongozi wa kisiasa, kwenye ziara za viongozi sio kiongozi anakuja eneo lenu kazi kuwasema wanaioba pesa za serikali tu na kusuasua kwa miradi lazima kuchombeza na swala la haki yetu sisi kama watanzania lakini kama watanzania wenyewe hawajaona umuhimu wa haki yao kikatiba pengine kwa sababu wanazoziona wao hawatoliwekea mkazo hvo litabakia kwa viongozi tu wakiumana meno na iwe hvo na sio njia ya kuandamana tena kusisitiza kabisa kama havitofanyika hvo sisi raia hatwendi kupiga kura yoyote...changamoto inayokuja hapo nikuwa kunakundi kubwa la watanzania wanalamba asali na wengine hawalambi asali...mambo ni mengi.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo!
Simple Mind Discuss People
Ordinary Mind Discuss Events
Great Minds Discuss Ideas。

Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。

Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja jina la mtu yoyote,na ikitokea ukajisikia kuwashwa washwa kutaja majina,wewe ujijue bado ni mtoto,bandiko hili sii saizi yako,nakuomba jipitie zako kimya kimya,nenda kwenye mabandiko ya saizi yako!,na nimuombe mode,turudishe ile nidhamu ya jf ya zamani, ukiona mtu yoyote kataja jina lolote kwenye bandiko hili,futilia mbali hiyo post,tuanze kurudisha ile jf ya enzi zile,watu wanakata issues hivyo kutenganisha mambo kikubwa na mambo ya watoto。

Hili ni bandiko la swali,huu ni mwaka wa uchaguzi,kuna vitu tumekuwa tunaviomba vifanyike kabla ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2025, mpaka sasa tumeingia mwaka wa uchaguzi,badhi ya vitu hivyo,vimefanyika,baadhi vimefanyika but not the right way,na vingine havijafanyika kabisa ikiwemo the most important,mabadiliko madogo ya katiba。

Kwenye hli la katiba,minimum reforms, limepelekea mimi kujiuliza,hivi Inawezekana ni kiburi na jeuri ya serikali kuwa hatufanyi,inawezekana ni kiburi na jeuri ya wasaidizi wake sheria,hawajamwambia ukweli wa the legal status ya katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi,au ameambiwa na ajua ila ameamua atafanya kwa muda wake, ila mkilizimisha ndio sifanyi,kwani nisipo fanya, mtanifanya nini?。

Na kwavile na kiukweli kabisa katiba yetu ya JMT,inamruhusu kufanya jambo lolote,au kutofanya jambo lolote na asiwe amefanya kosa lolote kwasababu,katiba yetu imemruhusu,anaruhusiwa kushauriwa tuu na yeyote,lakini kwenye kufikia maamuzi,atafikia maamuzi yeye mwenyewe kama yeye,halazimiki kufuata ushauri wa yeyote,na maamuzi yake hayahojiwi na mamlaka yoyote!。

Na hata ikitokea akafanya maamuzi yoyote kwa makosa ya kisheria,kikanuni na kiutaratibu,tumempa kinga ya kutokushitakiwa popote,unless kama makosa hayo ni makosa ya ukiukwaji na uvunjaji wa katiba ya JMT,then anashitakiwa kwa mujibu wa Ibara ya 56A ya katiba。

Je ni mara ngapi viongozi wetu wamekiuka katiba,wamekanyaga katiba,wamevuja katiba bila kufanywa chochote?!。

Tena imefikia mpaka kiwango cha Mahakama Kuu ya Tanzania,imetoa uamuzi na imetamka wazi jambo fulani ni kinyume na katiba,lakini bado viongozi wetu wanalitenda!,wanakanyaga katiba,wanavunja katiba,wanakiuka katiba na hawafanywi lolote!itakuwa haya ya kusema tuu humu, kuandika magazetini na kwenye mitandao, itasaidia?.

Au inawezekana ni kweli kabisa yuko real very busy sana,na hapati kabisa muda wa kutusoma?,kututazama na kutusikiliza,awategemea zaidi wasaidizi wake tuu!,wamsomee,wamtazamie na kumsikilizishia,na hao wasaidizi wake nao ikatokea na wao pia wako too busy sana,hawajapata kabisa
nafasi ya kumwambia ukweli wa ubatili wa katiba yetu na ubatili wa hii sheria yetu mpya ya uchaguzi aliyoisaini mwaka jana ambayo ndio tunakwenda kuifanyia uchaguzi wa mwaka huu, kuwa ni sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba ya JMT?.

Kuna vitu vya ajabu ajabu vya kisheria vinavyofanyika nchini mwetu, ukiwa ni mwanasheria, ni vigumu sana kuvielewa, kama hili la ubatili wa katiba na ubatili wa sheria yetu ya uchaguzi!.

Mahakama Kuu ya Tanzania, imetoa uamuzi kuhusu ubatili wa sheria ya uchaguzi, tukaamua kutunga sheria mpya ya uchaguzi, wanasheria nguli, wabobezi na wabebovu wakatungaje muswada wenye ubatili ule ule?!.

Tuliposhirikishwa kwenye hatua zote tatu, kwenye kukusanya maoni ya wadau, kuna watu tulisema,

Kabla ya muswada kusomwa kwa mara ya kwanza, tukaitwa kutoa maoni, tukasema

Na baada ya muswada kusomwa kwa mara ya kwanza, tukaitwa kutoa maoni Bungeni Dodoma, tukasema

Sheria ilipokuja kutoka, ina ubatili ule ule mtu unajiuliza Bunge chini ya mwalimu nguli mbobezi na mbobevu wa
sheria. linatungaje sheria batili kinyume na katiba?!. Halafu bila aibu, anapelekewa kusaini!.

Kwenye hili la ubatili wa katiba na ubatili wa sheria, nimesisitiza mtu asiye
mwanasheria hawezi kuujua
ubatili wa katiba au ubatili wa sheria, bila kuelezwa na wanasheria!, hivyo inawezekana mpaka ninapoandika hapa, mwenyewe wala hajui tuna katiba batilifu, wala hajui ametungiwa sheria batili, na yeye kuisaini bila kujua ni batili!.

Hivyo kumlaumu mtu kama huyu ni kumuonea bure tuu,kumbe masikini wa watu yeye wala hajui?!。

Kwa vile huu ndio mwaka wa uchaguzi,something must be done kuhusu hii sheria mpya ya uchaguzi,ni sheria batili kwasababu ina vifungu fulani batili,viko kinyume cha katiba ya JMT,ya mwaka 1977
Mahakama Kuu iliisha utangaza ubatili huo ni kinyume na katiba!。

Serikali ikauchukua ubatili huo,ukauchomekea kiubatili ndani ya katiba yetu,ili sasa ule ubatili wa sheria ya uchaguzi,uliotangazwa na Mahakama Kuu,kuwa ni batili,sasa umehalalishwa kwasababu ubatili huo sasa umechomekewa ndani ya katiba yetu!.

Mahakama Kuu ikakomaa kuwa sheria hiyo ni batili,na uchomekeaji wa vifungu hivyo batili ndani ya katiba yetu, nao umefanyika kiubatili!.

Mahakama ya Rufani,ikakiri ubatili huo,ila kwa vile sasa ubatili huo,umechomekewa ndani ya katiba yetu,upo ndani ya katiba, hata kama uchomekeaji huo umefanywa kiubatili, lakini upo!, na aliyechomekea ubatili huo ni Bunge letu tukufu!,kwa kuliheshimu Bunge, Mahakama ya Rufaa, ikaamua,Mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika jukumu lake la kutunga sheria,hivyo mpira huo wa ubatili wa katiba na ubatili wa sheria, ukarudishwa mezani kwa Bunge,liuondoe!。 Bunge likatia mpira kwapani na kula kobisi mpaka leo hii ninapoandika hapa!,ubatili huo bado upo ndani ya katiba yetu!,tumetunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule sasa tunajiandaa kufanya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa katiba batilifu na sheria batili!。Je tufanye nini?.

A Way Forward
Ikitokea this time akaliona bandiko hili na kuvisikia vilio hivi, naendelea kusisitiza kuna kufanya, jambo zuri, doing the right thing, amefanya makubwa mazuri mengi!, na tumemoongeza sana!.

Ila.kwenye dunia ya sasa ya utandawazi na usasa, doing the right thing, is not enough, one has to do the right thing, at the right time and do it right!. Kuna vitu amevifanya ni right thing lakini havijafanyika the right way!

Nashauri
  1. Muda uliopo unatosha,kufanya minimum reforms za katiba kwa hati ya dharura,kuucholopoa huo ubatili uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu na kuifanya iwe ni katiba safi na halali。
  2. Sheria mpya ya Uchaguzi,is the right thing done on a wrong way!, sheria hii ifumuliwe,vile vifungu batili viondolewe,kila Mtanzania awe huru kupiga kura kumchagua kiongozi anayemtaka kwa mujibu wa ibara ya 5。Kwa sasa Mtanzania hayuko huru kumchagua kiongozi anayemtaka,analazimishwa lazima amchague kiongozi aliyeletewa na chama cha siasa!.
  3. Ibara ya 21 yakatiba irekebishwe kila mtu aruhusiwe kugombea uongozi,kwa sasa Mtanzania haruhuhusiwi kugombea uongozi,analazimishwa kwanza ni lazima ajiunge na chama cha siasa,hicho chama ndio kimdhamini,ndipo aruhusiwe kugombea uongozi wa umma, matokeo yake tunawakosa watu wazuri, watu makini kutuwakilisha huku tukijaza mazagazaga na matutusa kule kwenye vyombo vyetu vya uwakilishi,matutusa na mazagazaga mengine kazi yao ni kugonga tuu meza kupiga makofi na kusema ndiooo!,nawengine haswa wale wa vitu maalum,wako pale kwa kazi maalum!,tungekuwa na watu makini mule wa kutosha,yale madudu ya ajabu ajabu yaliyopitishwa mule yasinge pita kwa mserereko kivile!。
  4. Watanzania walitaka Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi,na sio kuibadili tuu jina kutoka Tume ya Uchaguzi NEC,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi INEC,lakini tume ni ile ile,watu ni wale wale!. Tume Huru ya Uchaguzi is the right thing,tuirekebishe,isukwe upya na iwe shirikishi!。
  5. Creation of level playing field kwenye the game of politics。The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni, mfano, kuna mgombea mmoja anaingia kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi, anatoka chama dola, anatembea na dola, misafara mirefu na vingora, media, 2025 sio media tuu, media, Bongo movie, Bongo Fleva, Social media influences, mpaka ma chawa, na wasaidizi huku budget yake is fully footed by state, kwasababu ni head of state ashindane na wagombea kutoka chama makapuku!, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili, huku mmoja ameshika kwenye mpini! unategemea nini?.
Watanzania tunatakiwa tutafakari kwa pamoja,tufanye nini ili kupata haki zetu za msingi za kidemokrasia na uchaguzi wa 2025 ukawa uchaguzi huru na wa haki?

Paskali
Rejea

Similar Discussions​

Yeye na serikali yake wasipokuwa sikivu nchi hii tutakuwa kama congo, ni swala la muda tu.
 
Mama Samia huyo

tatizo kubwa ni moja tu,
wanaojiona wajuaji na kuiona katiba hii ni batili, kwanza ni wachache sana na hawana hoja zenye mashiko kuwashawishi wananchi wengi kuona na kuamini katika ubatili huo,

na wananchi walio wengi wanaona mambo mengi ndani ya katiba yako sawa sawia, na vipaumbele vyao muhimu ni mahitaji yao ya kila siku yaliyo nnje ya katiba.

hata hivyo,
wapiga mdomo na makelele ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi na katiba ya nchi, wanalenga zaidi mabadiliko ya vyeo na madaraka kwa tamaa binafsi, chuki binafsi na wivu ambao hauna maana wala manufaa yoyote kwa wananchi ambao mahitaji yao muhimu ni kwenye kilimo, maji, afya, elimu n.k.

ndio maana hoja hii inafaa kupuuzwa tu. Na kwakweli hoja ya mabadiliko ya katiba itaishia JF na kwenye mitandao ya kijamii tu, Lakini field kwa wananchi hakuna habari na wala hawana haja na makelele ya katiba 🐒
Hacha kujidanganya kwamba watz awaoni umuhimu wa katiba mpya wanajuwa sana ila tukubaligi tu ukweli watz ni mazwazwa el mapong'ole
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo!
Simple Mind Discuss People
Ordinary Mind Discuss Events
Great Minds Discuss Ideas。

Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。

Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja jina la mtu yoyote,na ikitokea ukajisikia kuwashwa washwa kutaja majina,wewe ujijue bado ni mtoto,bandiko hili sii saizi yako,nakuomba jipitie zako kimya kimya,nenda kwenye mabandiko ya saizi yako!,na nimuombe mode,turudishe ile nidhamu ya jf ya zamani, ukiona mtu yoyote kataja jina lolote kwenye bandiko hili,futilia mbali hiyo post,tuanze kurudisha ile jf ya enzi zile,watu wanakata issues hivyo kutenganisha mambo kikubwa na mambo ya watoto。

Hili ni bandiko la swali,huu ni mwaka wa uchaguzi,kuna vitu tumekuwa tunaviomba vifanyike kabla ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2025, mpaka sasa tumeingia mwaka wa uchaguzi,badhi ya vitu hivyo,vimefanyika,baadhi vimefanyika but not the right way,na vingine havijafanyika kabisa ikiwemo the most important,mabadiliko madogo ya katiba。

Kwenye hli la katiba,minimum reforms, limepelekea mimi kujiuliza,hivi Inawezekana ni kiburi na jeuri ya serikali kuwa hatufanyi,inawezekana ni kiburi na jeuri ya wasaidizi wake sheria,hawajamwambia ukweli wa the legal status ya katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi,au ameambiwa na ajua ila ameamua atafanya kwa muda wake, ila mkilizimisha ndio sifanyi,kwani nisipo fanya, mtanifanya nini?。

Na kwavile na kiukweli kabisa katiba yetu ya JMT,inamruhusu kufanya jambo lolote,au kutofanya jambo lolote na asiwe amefanya kosa lolote kwasababu,katiba yetu imemruhusu,anaruhusiwa kushauriwa tuu na yeyote,lakini kwenye kufikia maamuzi,atafikia maamuzi yeye mwenyewe kama yeye,halazimiki kufuata ushauri wa yeyote,na maamuzi yake hayahojiwi na mamlaka yoyote!。

Na hata ikitokea akafanya maamuzi yoyote kwa makosa ya kisheria,kikanuni na kiutaratibu,tumempa kinga ya kutokushitakiwa popote,unless kama makosa hayo ni makosa ya ukiukwaji na uvunjaji wa katiba ya JMT,then anashitakiwa kwa mujibu wa Ibara ya 56A ya katiba。

Je ni mara ngapi viongozi wetu wamekiuka katiba,wamekanyaga katiba,wamevuja katiba bila kufanywa chochote?!。

Tena imefikia mpaka kiwango cha Mahakama Kuu ya Tanzania,imetoa uamuzi na imetamka wazi jambo fulani ni kinyume na katiba,lakini bado viongozi wetu wanalitenda!,wanakanyaga katiba,wanavunja katiba,wanakiuka katiba na hawafanywi lolote!itakuwa haya ya kusema tuu humu, kuandika magazetini na kwenye mitandao, itasaidia?.

Au inawezekana ni kweli kabisa yuko real very busy sana,na hapati kabisa muda wa kutusoma?,kututazama na kutusikiliza,awategemea zaidi wasaidizi wake tuu!,wamsomee,wamtazamie na kumsikilizishia,na hao wasaidizi wake nao ikatokea na wao pia wako too busy sana,hawajapata kabisa
nafasi ya kumwambia ukweli wa ubatili wa katiba yetu na ubatili wa hii sheria yetu mpya ya uchaguzi aliyoisaini mwaka jana ambayo ndio tunakwenda kuifanyia uchaguzi wa mwaka huu, kuwa ni sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba ya JMT?.

Kuna vitu vya ajabu ajabu vya kisheria vinavyofanyika nchini mwetu, ukiwa ni mwanasheria, ni vigumu sana kuvielewa, kama hili la ubatili wa katiba na ubatili wa sheria yetu ya uchaguzi!.

Mahakama Kuu ya Tanzania, imetoa uamuzi kuhusu ubatili wa sheria ya uchaguzi, tukaamua kutunga sheria mpya ya uchaguzi, wanasheria nguli, wabobezi na wabebovu wakatungaje muswada wenye ubatili ule ule?!.

Tuliposhirikishwa kwenye hatua zote tatu, kwenye kukusanya maoni ya wadau, kuna watu tulisema,

Kabla ya muswada kusomwa kwa mara ya kwanza, tukaitwa kutoa maoni, tukasema

Na baada ya muswada kusomwa kwa mara ya kwanza, tukaitwa kutoa maoni Bungeni Dodoma, tukasema

Sheria ilipokuja kutoka, ina ubatili ule ule mtu unajiuliza Bunge chini ya mwalimu nguli mbobezi na mbobevu wa
sheria. linatungaje sheria batili kinyume na katiba?!. Halafu bila aibu, anapelekewa kusaini!.

Kwenye hili la ubatili wa katiba na ubatili wa sheria, nimesisitiza mtu asiye
mwanasheria hawezi kuujua
ubatili wa katiba au ubatili wa sheria, bila kuelezwa na wanasheria!, hivyo inawezekana mpaka ninapoandika hapa, mwenyewe wala hajui tuna katiba batilifu, wala hajui ametungiwa sheria batili, na yeye kuisaini bila kujua ni batili!.

Hivyo kumlaumu mtu kama huyu ni kumuonea bure tuu,kumbe masikini wa watu yeye wala hajui?!。

Kwa vile huu ndio mwaka wa uchaguzi,something must be done kuhusu hii sheria mpya ya uchaguzi,ni sheria batili kwasababu ina vifungu fulani batili,viko kinyume cha katiba ya JMT,ya mwaka 1977
Mahakama Kuu iliisha utangaza ubatili huo ni kinyume na katiba!。

Serikali ikauchukua ubatili huo,ukauchomekea kiubatili ndani ya katiba yetu,ili sasa ule ubatili wa sheria ya uchaguzi,uliotangazwa na Mahakama Kuu,kuwa ni batili,sasa umehalalishwa kwasababu ubatili huo sasa umechomekewa ndani ya katiba yetu!.

Mahakama Kuu ikakomaa kuwa sheria hiyo ni batili,na uchomekeaji wa vifungu hivyo batili ndani ya katiba yetu, nao umefanyika kiubatili!.

Mahakama ya Rufani,ikakiri ubatili huo,ila kwa vile sasa ubatili huo,umechomekewa ndani ya katiba yetu,upo ndani ya katiba, hata kama uchomekeaji huo umefanywa kiubatili, lakini upo!, na aliyechomekea ubatili huo ni Bunge letu tukufu!,kwa kuliheshimu Bunge, Mahakama ya Rufaa, ikaamua,Mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika jukumu lake la kutunga sheria,hivyo mpira huo wa ubatili wa katiba na ubatili wa sheria, ukarudishwa mezani kwa Bunge,liuondoe!。 Bunge likatia mpira kwapani na kula kobisi mpaka leo hii ninapoandika hapa!,ubatili huo bado upo ndani ya katiba yetu!,tumetunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule sasa tunajiandaa kufanya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa katiba batilifu na sheria batili!。Je tufanye nini?.

A Way Forward
Ikitokea this time akaliona bandiko hili na kuvisikia vilio hivi, naendelea kusisitiza kuna kufanya, jambo zuri, doing the right thing, amefanya makubwa mazuri mengi!, na tumemoongeza sana!.

Ila.kwenye dunia ya sasa ya utandawazi na usasa, doing the right thing, is not enough, one has to do the right thing, at the right time and do it right!. Kuna vitu amevifanya ni right thing lakini havijafanyika the right way!

Nashauri
  1. Muda uliopo unatosha,kufanya minimum reforms za katiba kwa hati ya dharura,kuucholopoa huo ubatili uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu na kuifanya iwe ni katiba safi na halali。
  2. Sheria mpya ya Uchaguzi,is the right thing done on a wrong way!, sheria hii ifumuliwe,vile vifungu batili viondolewe,kila Mtanzania awe huru kupiga kura kumchagua kiongozi anayemtaka kwa mujibu wa ibara ya 5。Kwa sasa Mtanzania hayuko huru kumchagua kiongozi anayemtaka,analazimishwa lazima amchague kiongozi aliyeletewa na chama cha siasa!.
  3. Ibara ya 21 yakatiba irekebishwe kila mtu aruhusiwe kugombea uongozi,kwa sasa Mtanzania haruhuhusiwi kugombea uongozi,analazimishwa kwanza ni lazima ajiunge na chama cha siasa,hicho chama ndio kimdhamini,ndipo aruhusiwe kugombea uongozi wa umma, matokeo yake tunawakosa watu wazuri, watu makini kutuwakilisha huku tukijaza mazagazaga na matutusa kule kwenye vyombo vyetu vya uwakilishi,matutusa na mazagazaga mengine kazi yao ni kugonga tuu meza kupiga makofi na kusema ndiooo!,nawengine haswa wale wa vitu maalum,wako pale kwa kazi maalum!,tungekuwa na watu makini mule wa kutosha,yale madudu ya ajabu ajabu yaliyopitishwa mule yasinge pita kwa mserereko kivile!。
  4. Watanzania walitaka Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi,na sio kuibadili tuu jina kutoka Tume ya Uchaguzi NEC,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi INEC,lakini tume ni ile ile,watu ni wale wale!. Tume Huru ya Uchaguzi is the right thing,tuirekebishe,isukwe upya na iwe shirikishi!。
  5. Creation of level playing field kwenye the game of politics。The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni, mfano, kuna mgombea mmoja anaingia kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi, anatoka chama dola, anatembea na dola, misafara mirefu na vingora, media, 2025 sio media tuu, media, Bongo movie, Bongo Fleva, Social media influences, mpaka ma chawa, na wasaidizi huku budget yake is fully footed by state, kwasababu ni head of state ashindane na wagombea kutoka chama makapuku!, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili, huku mmoja ameshika kwenye mpini! unategemea nini?.
Watanzania tunatakiwa tutafakari kwa pamoja,tufanye nini ili kupata haki zetu za msingi za kidemokrasia na uchaguzi wa 2025 ukawa uchaguzi huru na wa haki?

Paskali
Rejea

Similar Discussions​

Kama kawaida yenu watz uwa mnakamtindo ka usahaulifu mshasahau aliwaambia yeye ni CHURA KIZIWI 😀. Mana yake mshapuuzwa mnaonekana Si lolote SI chochote
 
Paskali, wakati huu umekuwa mkweli kwa taaluma na nchi yako, hongera kwa bandiko bora tangu mwaka uanze.

Vv
 
Back
Top Bottom