Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

Umemaliza kila kitu !
Case closed 🙏🙏
 
Ameeleza kwa mwendo kasi wakati story yenyewe inajaza makabati matatu
 
Business as usual !
Wabadilike !
 
Mkuu wa majeshi analia hovyo utafikiri siyo mwanajeshi angekuwa mkuu wa majeshi wa nchi za wanajeshi wenye akili angeweza hatakuchukua madaraka kwa nafasi aliyopewa wakati jiwe anaumwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili hizi za Samia bora alitengwa
 
Point taken.

Ila, bado swali liko pale pale kwa nini Rais anayeumwa mahututi anaita Paroko, anaita Kardinali, anaita CDF, anaita IGP, anaita DGIS, lakini anashindwa kumuita VP?
Labda kulikuwa na mkakati wa kuonyesha kwamba serikali ipo na inaendelea kupiga kazi kama kawaida na ndo maana Samia alikuwa yuko Tanga kikazi…..

Labda walipiga mahesabu yao wakaona kwamba itakuwa vyema viongozi waandamizi wakionekana wanafanya kazi kuliko kutoonekana maana tayari kulikuwepo na maneno kwamba kuna linaendelea ndani ya serikali…..
 
Kwani wangekuwa Dar wanapiga kazi isingeonekana wanapiga kazi?

Kwani serikali inashindwa kupanga event hata ya kizushi VP aonekane tu Dar?

Huoni kwamba hapo ilitumika ile style ya wazee, wakitaka kuongea jambo lao la faragha, wanamtuma mtoto dukani tu wapate nafasi ya kuongea vizuri?
 
Kwani wangekuwa Dar wanapiga kazi isingeonekana wanapiga kazi?

Kwani serikali inashindwa kupanga event hata ya kizushi VP aonekane tu Dar?
Popote pale nchini wangeonekana wanapiga kazi, hata ingekuwa ni Gambosi.

Either way, mengi mnayojadili hapa ni speculations tu.

Unless labda muwe mmeambiwa na Samia mwenyewe.
 
Popote pale nchini wangeonekana wanapiga kazi, hata ingekuwa ni Gambosi.

Either way, mengi mnayojadili hapa ni speculations tu.

Unless labda muwe mmeambiwa na Samia mwenyewe.
Mabeyo kashawapa watu pa kuanzia.

Kwamba naweza kusema, kwa mujibu wa Mabeyo, VP alikuwa zake Tanga huko huku wanaume wanapanga nchi apewe nani.

That is basically a coup. Hata kama mwisho katiba ime prevail, ni kwa hisani ya wanajeshi tu, hatuku maintain principle ya "civilian control of the military".

It's like the civilian leadership ceded control of the process to the military.

Ndiyo maana unamsikia Mabeyo anasema "tukaamua", mkaamua kama nani wakati hata kwenye succession chain hampo?

That was basically a coup. Regardless of whether finally the constitution prevailed or not. The process was hijacked by the military-intelligence complex.

The military was making momentous political decisions without civilian leadership.
 
This is conjecture!
Huoni pattern ya habari kwamba VP alitengwa na Magufuli.?

Habari ambazo zilisemwa kuwa ni conjecture hivyo hivyo, mpaka Makamba alivyokuja kufunguka last week hapa wakati anamkaribisha Samia Italy?
 
That’s just your read of it.

And looks like you’re reading way too much into it.

Mabeyo hakusema yote hayo unayoyasema wewe.

Kama nilibyosema jana, ingependeza kama angefanya mahojiano yenye follow-up questions.

Tatizo watu wenyewe wanafanya vitu vingi viwe siri bila ulazima wowote ule.

Na nyinyi ndo mnatumia mwanya huo kuja na tafsiri zenu na makisio yenu.
 
Huoni pattern ya habari kwamba VP alitengwa na Magufuli.?

Habari ambazo zilisemwa kuwa ni conjecture hivyo hivyo, mpaka Makamba alivyokuja kufunguka last week hapa wakati anamkaribisha Samia Italy?
Makamba ni anti-Magufuli. Siyabebi maneno yake kuhusu Magufuli hook, line, and sinker.

Ningependa kusikia kutoka kwa mtu ambaye hana upendeleo.
 
Mabeyo hakusema nini?
 
Makamba ni anti-Magufuli. Siyabebi maneno yake kuhusu Magufuli hook, line, and sinker.

Ningependa kusikia kutoka kwa mtu ambaye hana upendeleo.
That was Makamba talking but the message was from Samia, it got the go ahead from Samia.

There is no way Makamba is going to be so tactless to talk that smack without Samia's go ahead.

Hata Mabeyo yote anayoongea hayo yamepitishwa na Samia. Bila Samia kupitisha Mabeyo haongei hayo.

Ni mkakati wa kuonesha Samia alivyoonewa na kutoka kidedea licha ya watu kutaka kumpora haki yake ya kikatiba.

Na Mabeyo hakuanza habari hizi leo, mwaka huu ame rehash tu, alishatoa hizi stories tangu mara tu baada ya Samia kuapishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…