Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

Nilisikia kuwa Jeshi(Cdf) liliwaambia wahini Dodoma mkamthibitishe mama chap mpaka kesho muda fulani. Msivyofanya hivyo tunalinda katiba sisi . Kwa aliyeosema cdf naamini hizo story sasa
 
Story za vijiweni sio ndio zilisema Magufuli kafariki siku tano Kabla ya serekali kutangaza, unaachaje kuamini taarifa za vijiweni zenye ukweli wa hivyo?
 
Mie ningekua Mobeyo, ningekaa kimya tu. Cheap minds ndo zinamsifia ila hana tofauti sana na wale wengine, hata na yy alikua ameinhiwa na kishawishi cha kupindisha mambo ila akakishinda, na najua anajilaumu
Mpaka hapa unasema juu kauli chini unajipinga
 
You are very composed bro, kitu nimejifunza kwako wewe ni zero emotional . Mtu anakera lakini bado lugha yako ni ya utulivu. Seems ni mtu mwenye ustaarabu wake wewe. Najifunza kwako!
 
Hapana..!!

Bila shaka, wewe ndiye hujui lakini hujui kuwa hujui!

Kikatiba, wakati wowote Rais anapokuwa hayupo au anaumwa au amekufa au kwa sababu zinazotajwa na katiba, basi Vice President automatic ndiye huchukua nafasi ya Rais. Na kwa hiyo anabeba nguvu na mamlaka (power & authority) ya position ya Rais...

CDF, IGP na DGIS ni washauri wa Rais ktk mambo ya ulinzi na usalama wa ndani ya nchi na mipaka yake. Hapo walikusanyana watatu wote kumshauri mgonjwa mahututi na baadaye maiti, au?

Je, hawakupaswa kutenda wajibu wao huo kwa VP ambaye ndiye anayetambuliwa na katiba kwa kuwa Rais alikuwa mahututi na baadaye kuwa amefariki dunia?

Ndiyo maana kwa sababu ya kifo, katiba inataka haraka sana VP apishwe na kuwa Rais ili kuvaa mamlaka ya u - Rais kwa ukamilifu wake..

Na kingine unachopaswa kukumbuka ni kuwa, nchi hii tangu mwaka 1961 imekuwa chini ya uongozi wa kiraia kwa mujibu wa katiba.

Hakuna mahali popote ndani ya katiba Jeshi limepewa mandate ya kuingilia na kuchukua mamlaka halali ya uongozi wa kiraia wa nchi uliowekwa kihalali kwa mujibu wa katiba.

In very rare cases mapinduzi ya kijeshi (Jeshi kupindua uongozi wa kiraia) ktk nchi yanaweza kutokea. Lakini , by then there was no thing like that..

Majukumu na mamlaka ya CDF yako very clearly stated kikatiba. Lord denning yuko sahihi. Kuna kitu kinafichwa hapa. Kwanini VP alitolewa kwenye chain of command ya mamlaka ya uongozi wa kiraia wa nchi?

Kwanini CDF, IGP na DGIS ndiyo walikuwa wamemzunguka Rais tangu kuumwa hadi kufa kwake huku wakitambua kuwa nchi hii iko chini ya mfumo na utaratibu wa uongozi wa kiraia na sio wa kijeshi?

Walikuwa wanapanga nini? Kwanini finally, dakika za mwisho ndo wanaona ingalau tuwashirikishe Karibu Mkuu kiongozi na Waziri Mkuu huku wakimwacha VP ambaye kikatiba ndiye aliyepaswa kujua jambo hili kila hatua?

Mimi naweza kusema, kwamba, kwa jambo hili, obviously kuna possibilities tatu;

Aidha

1. CDF alikuwa na maelekezo maalumu toka kwa hayati Rais Magufuli mwenyewe kuwa alipoona kuwa uwezekano wa kupona haupo. Ni wazi kuwa CDF aliambiwa maneno haya "....hawa watu wameshaniua. Sitapona. Tafadhali, bwana CDF nikifa hii nchi jeshi ndilo liongoze.."

Au;

2. CDF, IGP na DGIS wao wenyewe kwa mapatano wali - conspire kutaka kupindua uongozi wa kiraia wa nchi hii na kutumia kifo cha Rais Magufuli kusimika uongozi wa kijeshi na wao wenyewe walikuwa pale wakipanga nani atakuwa nani..

Na au;

3. Kulikuwa na kundi la viongozi wengine wa kiraia kwa kulishawishi Jeshi, walitaka kuleta mapinduzi kuzuia taratibu zilizowekwa na katiba kufuatwa ikiwemo VP kuapishwa na kuwa Rais..
 
Licha ya kujiita rational thinker mara nyingi unatumia speculation ku draw congratulation.
Magufuli safari zote za nje alienda kuwakilishwa na samia.
Lakini Samia safari za nje mara amtume mwinyi, mwinyi ni nan kwenye serikali ya muungano!? Mpango na yeye alalamike anatengwa na samia!?
January mwizi wa mitihani ndio amekuwa trusted source ya ku refer!?
Between January ameachia uwaziri miaka mingapi kabla ya kifo!?
Mpaka tunaenda kwenye uchaguzi kama huo ugomvi ungekuwa ni seriously hivo Magufuli angechagua mtu mwingine kama alivyo fanya kwa CAG.
 
CDF amesema wazi kabisa hata walipo muamuru waziri mkuu aje hawa ku-disclose information.
Kitu cha msingi cha kujiuliza ni kwanini magufuli alihisi yuko comfortable kuwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi kuliko wanasiasa wenzake!?
CDF anasema walimhamishia mzena kupunguza watu walio kuwa wanamuona.
Mwisho makamu wa raisi ni mshika mikasi tu kikatiba mpaka anapo apishwa kuwa raisi.
Jeshi hali mtambui makamu wa raisi kwenye chain of command CFF alisema raisi inabidi aapishwe kwa gwaridwe vinginevyo jeshi halita mtambua.
Kwanini Pm na General secretary ataarifiwe hao ni watendaji na ndio wanao husiko ku-organise hayo mambo mengine ya taratibu zinazo takiwa.
 
Samia mara ngapi amemuagiza mwinyi kwenda kumuwakirisha kimataifa badala ya mpango, mpango hatujasikia akilalamika kutengwa
 
Hivi hujui hata kama kuna baadhi ya mambo raisi hawezi kuya kasimu kwa mtu mwingine hata makamu!?
Moja wapi ni hiyo amiri jeshi mkuu, hata kama raisi amekufa kijeshi mpaka uapishwe ndio utambulike ni amiri jeshi mkuu.
CDF amesema watu walitaka aapishwe bila gwaride akawaambia kumuapisha bila gwaride ni kinyume jeshi halitamtambua maana yake kabla ya kuapishwa alikuwa hatambuliki lichq ya raisi kufariki.
Kisiasa yeye ni second in command lakini kiutendaji kati ya pm na makamu pm ndio mtendaji.
My personal opinion CDF aliwaambia GS na PM kwa sababu hao ndio watendaji wakuu wa serikali hakuw mwambia spika wala makamu
 
Kama unataka kufia kwako si umwambie daktari? Kwa nini umwambie CDF? Yeye na masuala ya matibabu wapi na wapi?
Kumbuka alikuwa mahututi.
Kila unayemuona mbele yako unahisi anaweza kukusaidia.
Tusimuhukumu mgonjwa aliyekuwa mahututi, maana eneo hilo lina changamoto nyingi.
 
Mabeyo hakuamua kuyasema yeye kama yeye hadharani.
Kama CDF, aliambiwa ayaseme hayo ili kuwatisha wengine wote ambao walikuwa ama watakuwa wanaamini kuwa wapo salama katika kuyapanga mambo yao dhidi ya "SSH".
Mahojiano yamefantika na chombo cha serikali.
 
Makamu wa Rais unakosaje vipenyo wa kukupenyezea taarifa nyeti na muhimu kama hii?!
 
Mkuu wa majeshi aitaarifiwa au alikuwapo?
 
Makamu wa Rais unakosaje vipenyo wa kukupenyezea taarifa nyeti na muhimu kama hii?!
Hata kama anavyo, vinakuwa unofficial.

Sasa Makamu wa Rais unatumwa na Rais kwenda Tanga, kwa makusudi ili uwe mbali na Kwa Mzena, na unajua rais anaumwa, utakataa?

Tatizo inaonekana mkakati wa kumtenga Makamu wa Rais uliasisiwa na Magufuli mwenyewe.

Vinginevyo, hao wanausalama wasingeweza kufanya hivyo wenyewe.

Magufuli alikuwa na uwezo wa kumuita mtu yeyote pale, kamuita mpaka Kardinali Pengo.

Angesema tu "nileteeni Samia hapa" angeletwa. Hata kama Samia angekuwa ziara ya nje ya nchi ingekatishwa aje kumsikiliza Rais wake ana hali gani.

Magufuli jakutaka tu.
 
Mbona JPM urais wake haukipiganiwa kwa gharama zozote!!??

Mbona hakuna watu waliokuwa "responsible" wakati tunaambiwa ni uzembe ndio umepelekea kifo chake!!??
Kesi ya jpm ni tofauti,kila mtu pale juu kasoro bashiru slli aliitamani jamaa akate moto
 
Binafsi nimeshtuka kusikia CDF ameanza kumuita PM na CS badala ya VP kwanza, Inaonekana kama VP alikuwa abandon fulani kwenye huu Mchakato
 
Usisahau Mkuu wa Nchi ni Mali ya Umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…