Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Haswwa hivi vitoto vya 2000s vinawatesa sana wadau na mapenzi,unaweza kuta dingi yako anaomba msamaha na analizwa na mtoto wa 2000s yaani ni majanga sana..
 
A
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi...
Kuna ni wakubwa kimwili ila kihisia na kiakili ni watoto
 
Kwa mara ya kwanza naumizwa na mapenzi kiasi inabadilisha maisha yangu umri ulikuwa miaka 37.

Yule mwanamke hii laana ataishi nayo mpaka anaingia kaburini- she changed my life in a negative way.

[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake kama unajijua kabisa wewe sio poa basi usile hela ya mwanaume. Unaweza kuuliwa. Hakunaga mbadala wa papuchi kwa mwanaume. Bora umwibie hela ila sio mwanamke anayempenda mtauana
🤣🤣🤣 Shida wanaume wengi hawataki kukubali ukweli kuwa mbususu ya mwanamke unakooeshwa tuu. It will never be urs to own.
 
Ulichowekeza kwake ndiyo kitakufanya uumie au usiumie haijalishi una umri gani.
 
Exactly, mtu mzima 35+ analia kisa mapenzi inashangaza siyo kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…