Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Haswwa hivi vitoto vya 2000s vinawatesa sana wadau na mapenzi,unaweza kuta dingi yako anaomba msamaha na analizwa na mtoto wa 2000s yaani ni majanga sana..
 
A
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi...
Kuna ni wakubwa kimwili ila kihisia na kiakili ni watoto
 
Wanawake kama unajijua kabisa wewe sio poa basi usile hela ya mwanaume. Unaweza kuuliwa. Hakunaga mbadala wa papuchi kwa mwanaume. Bora umwibie hela ila sio mwanamke anayempenda mtauana
🤣🤣🤣 Shida wanaume wengi hawataki kukubali ukweli kuwa mbususu ya mwanamke unakooeshwa tuu. It will never be urs to own.
 
Ulichowekeza kwake ndiyo kitakufanya uumie au usiumie haijalishi una umri gani.
 
Ikiwa hakuna kikomo cha hisia, kwanini mtu mzima anapoanguka halii kwa sauti kama mtoto endapo tu hajapewa pole? Kwanini mtu mzima akihisi njaa halii?

Binafsi naona kwa mtu mzima kuliala kisa mapenzi; ni kujiendekeza tu! Kwani huyo mtu mtakufa wote???
Exactly, mtu mzima 35+ analia kisa mapenzi inashangaza siyo kitoto.
 
Back
Top Bottom