Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Pascal, 2025 wewe nenda kamchague huyo mm
 
Mkuu
Haujamuelewa mtoa mada
Kwa ufupi hajamaanisha jinsi ulivyoelewa. Vise versa is also true.
Nitarudia kusoma.
Hapa siyo Chit chat hawezi kuongea serious issues kwa mfumo huo.
Ukiongea ki 3rd party watu wanajua umemaanisha.
 
Pascal kauli Yako inaeleweka hivi! Wamarekani siyo wajinga kumkataa Rais Mwanamke. Watanzania Tutakuwa wajinga kumkubali Rais Mwanamke. Hivyo tufanye kama marekani.
Watanzania tulipofika hatuna tatizo na jinsi ya mtu kuwa Rais. Tuna watu wanauwezo kuwa Rais mfano mzuri Tulia Ackson, Rose Migiro, Anna Tibaijuka, Amina Salum wa Zanzibar, nk.
Tanzania shida yetu kubwa ni katiba na Aina ya Muungano tulionao ndiyo itakuwa kizingiti Cha Samia kurudi ikulu na siyo umwanamke wake!!

Wapinzani wakisimama vizuri kwenye hoja ya katiba na Muungano huu kichwa maji CCM hakika hawatoboi 2025.
 
Hebu tuanzie hapa, dini yake inasemaje.
Your browser is not able to display this video.

Hapa nani ni mwendawazimu!
 
Tunataka raisi sio mama
 
Bila kupepesa macho, Mwanamke yeyote yule duniani hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti.

Mambo ya gender, sijui haki sawa, sijui uchaguzi haujali jinsia ni propaganda uchwara.

Mwanamke hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti
Huwa ninakuona una akili kumbe mwehu tu siwajawahi kuona atheist mbumbumbu hivi kumbe na wewe hujamuelewa P? ... Kilaza
 
Wanatafuta ishara lakini hawatapewa ishara yo yote isipokuwa ile ya Joyce Banda.
 
Huwa ninakuona una akili kumbe mwehu tu siwajawahi kuona atheist mbumbumbu hivi kumbe na wewe hujamuelewa P? ... Kilaza
Wala sihitaji unione nina akili, Hatuko hapa kuonana Akili.

Ninakwambia hivi, Mwanamke yeyote yule duniani hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti.
 
Kwa mara nyingine wazungu wamedhihirisha kwao unafiki No, hawamwamini kabisa mtu jinsia ya kike kwenye Mambo ya msingi.

Ukiona wanampa mwanamke anapewa ujue hiyo ishu kwao Ni ya kawaida Sana ama Kuna walioko nyuma Na mwanamke Ni kivuli tu
 
Mkuu P, tutakuwa tufanya kosa sana kama tufanya hivyo ,maana sisi na marekani ni mbingu na nchi, Tanzania hawezi kufananisha na marekani,
Pili hatuwezi kuchagua raisi mwanamke kwa kuikomoa marekani. Tutakuwa too wrong
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Watu kama nyie ndo mnasababisha ccm itawale milele
 
Mkuu umekuwa nashangazwa sana na nyuzi zako sikuhiz, vituko sana.
 
Urais ni Cheo Cha kiume,

Lugha ya kifaransa inatambulisha vyeo hivyo katika "musculine" na "feminine".

Islam pia Iko wazi kuwa " Imelaaniwa kaumu inayoongozwa na...."
 
mkuu pascal kumbuka kuwa watz hatuchagui raisi huwa tunapangiwa na ccm ingekuwa upinzan una nguvu mambo yasingekuwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…