Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Sababu kubwa inayofanya watu kutafuta michepuko ni kuwa na mapungufu katika ndoa hasa mwanamke kumnyima unyumba mumewe, na ni sababu hiyo hiyo inayofanya mtu kumpenda mchepuko kuliko mke wa ndoa. Mke anakunyima unyumba na siku akikupa inakuwa kama unambaka tu lakini mchepuko anakupa kama unavyotaka wewe mwenyewe lazima mzani utalalia kwa mchepuko tu.
 
Kabisa sababu ktk kuchepuka kuna madhara yafuatayo:
1. Hela nyingi za Mwanaume kupotea bure bila kuwa na any return in future .
2. Kurogwa kwa mwanaume mhusika. Michepuko wengi ni wachawi na washirikina wakubwa sana.
Takribani 98% ya michepuko yote wanaroga sana Wanaume na wake zap wa ndoa kupitia Wanaume zao wanaochepuka nao.
3. Uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa yasiyotibika.
4. Penzi kuelemea nje na kumnyima mkeo haki au kuwa karibu nae na watoto.
5. Ni dhambi kwa Wenye kuamini kuwepo kwa Maisha baada ya Haya ya sasa.
6. Unajisi na lasnatulah ?!
7. Ni ubatili mtupu na sawa nakujilisha upepo.
8. N.k
Aaaah wapi !!!
 
Watu wengi huwa wanaingia kwenye ndoa na mtu ambaye ni second option lakini kiuhalisia hampendi.

Mwanaume baada ya kumkosa mwanamke ampendae anaona atulie tu mwanamke ambae atakua mama bora kwa watoto wake.

Mwanamke baada ya kumkosa mwanaume ampendae anaona atulie tu kwa mwanaume ambae atampa security,

Sasa hapo akitokea mtu wa kati akaziteka hisia za mmoja wapo ndipo balaa linapoanzia
 
Tatizo n mazoea kwenye ndoa watu wanakuwa wanaishi Kwa mazoea lakn Kwa mchepuko anajua akipata hyo nafasi kuzipata tena siku zinapita so lazma afanye analoweza ili mwamba amiss kurudi cku nyingine
Sio wanaume hawatoi hela?
 
Sio sifa, mbwa we!
Nimesoma comments hapaa...kosa kubwaa ni kunyimwaa mbususu...kwani huwaa mnataka mara ngapi Kwa wiki?
Mke kuishi kimazoea kua mchafu kijiachaniza kunenepeana ama kujikondesha ama kujichubua hahaha mke uwe ivo ivo kama ilivoolewa
Kama hautoi hela mke awe msafi unataka aweje msafi?

 
Back
Top Bottom