Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huduma pia, mwanamke anakuringia na k yake kwani ulale uume umesimama kama msumari, unajiongeza tu.Mtu anapenda mtu for a reason and not a tittle, “neno mke or Mchepuko” doesn’t matter, What matters is personality
Daily.Nimesoma comments hapaa...kosa kubwaa ni kunyimwaa mbususu...kwani huwaa mnataka mara ngapi Kwa wiki?
Aaaah wapi !!!Kabisa sababu ktk kuchepuka kuna madhara yafuatayo:
1. Hela nyingi za Mwanaume kupotea bure bila kuwa na any return in future .
2. Kurogwa kwa mwanaume mhusika. Michepuko wengi ni wachawi na washirikina wakubwa sana.
Takribani 98% ya michepuko yote wanaroga sana Wanaume na wake zap wa ndoa kupitia Wanaume zao wanaochepuka nao.
3. Uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa yasiyotibika.
4. Penzi kuelemea nje na kumnyima mkeo haki au kuwa karibu nae na watoto.
5. Ni dhambi kwa Wenye kuamini kuwepo kwa Maisha baada ya Haya ya sasa.
6. Unajisi na lasnatulah ?!
7. Ni ubatili mtupu na sawa nakujilisha upepo.
8. N.k
Mmezidi maudlinWanatoa kwa mgao kama Tanesco
Mke anaona kabisa sivuti bangi, sinywi pombe, sichanji miraa, sili ugoro sasa anategemea starehe yangu itakua ni nini? Alaf ananinyima
Mbunye unalala nayo af ugonge mara moja kwa mwezi😁
Widiiiiiii,champion boy we we we mshizo utawauaaaaaaa
Watu wengi huwa wanaingia kwenye ndoa na mtu ambaye ni second option lakini kiuhalisia hampendi.
Mwanaume baada ya kumkosa mwanamke ampendae anaona atulie tu mwanamke ambae atakua mama bora kwa watoto wake.
Mwanamke baada ya kumkosa mwanaume ampendae anaona atulie tu kwa mwanaume ambae atampa security,
Sasa hapo akitokea mtu wa kati akaziteka hisia za mmoja wapo ndipo balaa linapoanzia
Kwakifupi tu muda huu nipo hospital kufanya xray(wife) baada ya kuvumilia miaka mingi ya kunikosea adabu. Juzi nimemtandika haswaaaaaaaaaa.
Wanawake ukiwa mwanaume mpole hasa sisi wakristo, huwa wanatusumbua sana.
Sio wanaume hawatoi hela?Tatizo n mazoea kwenye ndoa watu wanakuwa wanaishi Kwa mazoea lakn Kwa mchepuko anajua akipata hyo nafasi kuzipata tena siku zinapita so lazma afanye analoweza ili mwamba amiss kurudi cku nyingine
Zulu man njoo utoe majibu😅
Umewahi kuchepuka mara ngapi?
Upendo unagawanyika ndio maan mke yupo ajamuacha na mchepuko yupo, yaan huwez mwaga sukari kwa asali ya kulamba x1 kwa wiki/mwez
Hiyo michepuko guys ndio happy boosters
Mkuu wake zetu tunawapenda ila michepuko ina mabalaa ambay wak zet hawana
Ukiacha kutoa hela unanyimwa uch.iNimesoma comments hapaa...kosa kubwaa ni kunyimwaa mbususu...kwani huwaa mnataka mara ngapi Kwa wiki?
Sio sifa, mbwa we!
Nimesoma comments hapaa...kosa kubwaa ni kunyimwaa mbususu...kwani huwaa mnataka mara ngapi Kwa wiki?
Kama hautoi hela mke awe msafi unataka aweje msafi?Mke kuishi kimazoea kua mchafu kijiachaniza kunenepeana ama kujikondesha ama kujichubua hahaha mke uwe ivo ivo kama ilivoolewa