kuna watu pia waliingia kwenye mahusiano humu na picha wakaziachia kule kwneye jukwa la wakubwa ๐๐๐๐ilikua tafrani sijui ndiyo hiyo kesiSure upande wa maconection ya kipindi kile Evelyn Salt apewe maua yake๐๐ kwakweli memba wa chaputa wali enjoy sana.Kama sikosei Kuna kesi Moja ilikuja humu ya mke wa mtu ikapelekea ndoa kufa I think ndio chanzo Mello akatupoka haki yetu sababu ilifikia watu wanapiga picha na video halisi kabisa.
Hebu tulia mzee, yule padri wetu vipi ss passover ishapita mchongo umekaaje?kwahiyo ndoa hakuna ๐๐ na kamati imefutwa
sister yetu yule amesema nisijaribu kufanya connection ya hivyo ๐๐๐๐๐๐Hebu tulia mzee, yule padri wetu vipi ss passover ishapita mchongo umekaaje?
Mnatuonea wivu sana, mlitamani mbaki wenyewe eeh๐ naona wengi hamjapenda na bado ๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธmbaya zaidi wakikua ni wanaume kwa wanaume sinunajua matusi ya wanaume kwa wanaume yanhusisha ujinga wa hali ya juu haikua poa,hile sheria ya ban irudi tena nyie ingizo jipya mna mihemko mchezee ban kidogo
Pombe zinasema ukweli..Mambo ya pombe hayo , mpaka naogopa kuyasoma๐
Naye inamuhusu nini wivu tu๐sister yetu yule amesema nisijaribu kufanya connection ya hivyo ๐๐๐๐๐๐
Lakini si nilisema tu, kwamba na mimi nipo hivyo ๐ญPombe zinasema ukweli..
Kumbu kumbu zako ziko sawa kama sikoseikuna watu pia waliingia kwenye mahusiano humu na picha wakaziachia kule kwneye jukwa la wakubwa ๐๐๐๐ilikua tafrani sijui ndiyo hiyo kesi
Leo utakoma! Ulikuwa unatukana wanawake wa humu hatuna pesa sjui wanaume wakatafute huko nje wanawake matajiri wanaoongelea billions of cash lols nakojoaaa๐คฃLakini si nilisema tu kwamba na mimi nipo hivyo ๐ญ
Weee hakunaUnaweza kukubali na usijue kama umekubali maana hujui ๐
Kwahiyo hapa ni kucheza na timing tu mpaka uhamie home ๐
Dad huyo malaika ๐ฅฐndio my mom?Familia yangu
1. My pillow, my โคbeat the one and only Angel Nylon
2. Our lovely daughter Hata najua basi
3. Our lovely son soledad
nilitaka nianzishe uzi leo kuwa kwanini sikukuu waumini wanakuja kwa wingi,aa mnakuja kutuonyesha mavazi mapya kanisani๐๐Kwahiyo unajisikia tu raha kunidhalilisha kama unanipa milion mtumishi, sadaka za jana zilifika hata laki 5?
hizi code hizi ๐นNi mtamu kuzidi naniliuu๐ ๐๐ฝ
Mimi sikununua mpya kwahiyo jana sikwenda๐คญnilitaka nianzishe uzi leo kuwa kwanini sikukuu waumini wanakuja kwa wingi,aa mnakuja kutuonyesha mavazi mapya kanisani๐๐
Seran ni ndio really mom ๐ฅฐumepata step mother ๐๐๐ Seran anajua lakini
jibu ndiyo hilo kwisha umekua sampleMimi sikununua mpya kwahiyo jana sikwenda๐คญ