How are u babes β€οΈπ Hupendi amani mkuu eti
God is good dear. Sio mbayaHow are u babes β€οΈ
Niko poa mwaya Mungu akutetee kipenziβ€οΈGod is good dear. Sio mbaya
Vipi wewe?
Amen mahiiNiko poa mwaya Mungu akutete kipenziβ€οΈ
Inaumiza mama, be strong, najaribu viatu vyako kwakeli siviwezi. Stay strong baby π« β€οΈβπ©ΉAmen mahii
Mapenzi yake yanatimizwa, ingawa ni ngumuu ππ
ππAhsante mwayaInaumiza mama, be strong, najaribu viatu vyako kwakeli siviwezi. Stay strong baby π« β€οΈβπ©Ή
Nakumbuka kipindi kile
Kuna jukwaa la chit chat daaah kuna yule Money Penny alikua anasema ana biashara ya mapapai sijui alikua na maana gani πππππ
Enzi hizo kuna Numbisa kwenye uzi wa cheka aiseee hatareee sana sana.
Kuna uzi.mmoja hvi wa mdada ana hadithia alivyopanda mlima Kilimanjaro daaah ule uzi hapana aiseeee
Morning Dadπ
Yeah sure, I can feel that!Nipo,tangu mwaka jana mwishoni jf imepoa sana kwa upande wangu unajua humu tuna marafiki kabisa japo hatujuani so kila ukiingia hawapo kuna upweke flan hivi