Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Imagine binamu Madame B akileta story zake anavyopenda mchezo ule..noma sana😅
😄😄😄
Kwa sasa nimekua na kukomaa mwaya.
Sema sahv nashindwa kujiachia kutokana na sababu ndogondogo.

Sema JLW ndio chanzo cha mie kuwa kimya miaka kadhaa

Kuna changamoto ilitokea, ikabidi niwe nje ya jukwaa miezi kadhaa.
Hata hivyo.....🤔, sawa. Tuko pamoja kiongozi.
 
Pole na karibu tena
 
Karibu sana binamu, umepotea hadi umesahau ndugu zako.
 
Kazi ya kucheza na mshangazi mpaka aseme inatosha alooo
Utakufa vibaya
Tafuta vijana wenzio 😁
Halafu hujashikwa bega mbeya kweli😎
Hapana siwezi shikwa bega aiseee yaan nilitumiwa sms mapema kabisa

""UKISHIKWA BEGA SAHAU KWENDA TEGETA NA MIMI""

Huko tegeta ndo kwake amesema nikikubari kwenda basi ananifanyia mpango wa ofisi yangu mwenyewe ya kuprint just imagine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…