Waliozuia mahojianoNani anaiogopa chadema?
Unaelewa unachouliza? Yani watu mmewasialna zaidi ya wiki mbili na kukubali. Halafu masaa machache unapigiwa simu kuharisha mahojiano bila sababu za msingi. Kuna mambo mangapi umehairisha?. Tuwe wakweliKwani anashare pale wasafi hadi aelezwe sababu?
Nimegundua kuna mengi huyajuiKwani anashare pale wasafi hadi aelezwe sababu?
Punguza ujuha basiKwani si afungue redio yake chama kinapokea ruzuku si mfungue yenu alale hapo hapo wala hatojibiwa!
Kitenge yupo sahihi. Ameelezea vyema kabisa, dawa ni kutoganya nao interview tena.Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa.
Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM
---
Taarifa kutoka ukurasa rasmi wa CHADEMA mtandao wa X
Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe. Lissu na kumjuza kuwa mahojiano hayo yameahirishwa kutokana na maelekezo kutoka juu.
Aidha, asubuhi ya leo Mhe. Tundu Lissu amefika Wasafi Tv kujua sababu za kuahirishwa kwa mahojiano hayo. Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea muda huu katika ofisi za Wasafi Tv.
Updates
Tundu Lissu sasa yupo Wasafi FM kupata sababu za msingi za kufutwa kwa mahojiano. Licha ya kupewa taarifa kwa njia ya simu, Lissu hakuridhika na badala yake amekuja mwenyewe Wasafi. Uongozi wa Wasafi umeomba radhi bila kueleza sababu za msingi.
sasa ikitokea ivo si anajiformat na kujimodify chap anaendelea na nyingine 🐒Yawezekana alizi-cancell baadhi ya ratiba zake kutokana na mwaliko wa kipindi,hivyo kwa leo ratiba zake unakuta zimevurugika,yaani ratiba yake imemfanya yeye kuathirika.
Leta clip moja inayosema hayo. Tusipende kuropoka vitu kisa chuki ya kisiasaHuyu mtu anasemaga uongo na kueneza falsafa isiyofaa ya uliberali tanzania. Eti kila kitu ruksa na kushindana. Wanaruhusu ushoga umalaya eti ni uhuru wa mtu. Asante wasafi kufuta mahojiano na hii kibaraka wa sera za sisi kunyonywa na wageni.
Wewe ndio umekurupukaUmekurupa na uzushi wako.Haya rejea maelezo ya Tundu Lisu kuhusu hiyo interview.
Huzijui figisu za MCC wewe.Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Nadhani aliyemwalika hakufanya risk analysis
Anyway Tundu Lisu angepotezea tu unless alikuwa na hidden agenda ya kuyabwaga kuhakikisha akimaliza interview TCRA wanafuifingia hiyo TV
Asitangaze vita na TV hawatatangaza chochote chake Wala Cha Chadema mbeleni huko
Awe future focussed akiwatubua asahau habari zake kurushwa zitabakia BBC swahili huko
Ndio huyo mhalifu anatatua.Huko kote wanakomiminika Kuna viongozi wa ccm, matatizo yao yashindwe kutatuliwa na hao wakazi, Hadi aje muhalifu mpita njia kutatua matatizo yao? Bado Kuna wajinga wa hivyo miaka hii?
Kama interview tu kuna maagizo kutoka juu hiyo tv chadema watapatia wapi vibali vya kuifungua bila changamoto za maagizo kuto
Tena Viongozi wa Wasafi FM wamerekodi mahojiano HayoAkili kubwa ni kubwa tu hata kama ni Made Darasani.
UPO SAHIHI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mlisema wamekatazwa vipi tena nyie Punda?Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa.