Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Ooh sisi ccm hatuogopi mtu chadema ilishakufa sijui Nini haya sasa wasafi walipotangaza kuwa na interview na Lissu kuanzia usalama Hadi mabosi wao hakuna aliyelala nadhani mkuu wa mkoa wa DSM analijua hili sipati picha jasho lilivyomwagika kutoka kwenye upara na amri ya kusitisha mahojiano ikafuata. Walidhani Lissu ni mdebwedo
 
Kasema juzi mujahid twendeni kwa wananchi na marufuku hizo media zote zimekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani.Jana nilijiuliza hando alifukuzwa efm,huenda na wasafi akafukuzwa.KAMA MKURUGENZI WA VIPINDI ZINAKUTOSHA jiuzulu.
Hando atamponza Diamond
 
Umekurupa na uzushi wako.Haya rejea maelezo ya Tundu Lisu kuhusu hiyo interview.

Hapo narejea Nini ambacho hakisikiki Wala kueleweka? Ama ameongea kinyaturu ambacho sikielewi? Au unatamani nielewe alichosema kwa utashi wako?
 
Nani kakwambia kavamia!!!?? Kaenda kupata taarifa za kina kwanini yamesitishwa maana kwa hadhi ya Lissu unapompa session ya mahojiano anakuwa amevunja ratiba zake nyingi so siyo sawa kuahirisha kizembe namna hiyo bila kumpa taarifa za kina.
 
hayupo kibaraka anaetumwa na mabwenyenye atafanya kitu nchi hii bila kukabiliwa mapema sana...

muoneeni huruma, nenendeni nae mkashitaki huko kwa mabwenyenye lakn hamna kitu isiyo na maana yoyote itaruhusiwa ifanywe na kibaraka alietumwa kutoka ng'ambo πŸ’
 
Zile CHUKI za KIJINGA za Awamu ya Tano zinarejeshwa na MAKONDA.
 
Wasafi sio radio Mimi radio yangu ni clouds FM tu na kwa mbali radio free Africa
Clouds ndo TAKATAKA nyingine, wanatumika sana na sasa wamepoteza kabisa mvuto kwa jamii ndo unaona inatumika Wasafi japo Clouds bado ni dekio la CCM
 
Mtu wa level ya Tundu Lisu haishi kama mdudu, kwenye diary yake lazima kuna schedule ya weekly na monthly.

Sasa huwezi kucancel appointment na yeye kirahisi rahisi tu Bila kumpa sababu za Msingi.

NI Kwa vile NI kiongozi wa Chadema lakini angekuwa siyo kiongozi akiwapeleka mahakamani mnakwenda kumlipa pesa nyingi tu.

Nakumbuka kipindi cha nyuma wakati natumia mtandao wa Tritel tulikuwa wateja wote tuna mkataba kama mtandao mtasababisha kukwama mambo yako Kwa sababu Yao Una haki ya kudai fidia.

NI vile Bongo tunaishi kama mifugo tunachukuliana powa.
 
Mmiliki wa Clouds na Wasafi ni huyo huyo mmoja

Kitu ni kile kile [emoji209]
Mmiliki au wamiliki!? Clouds haina mmiliki mmoja na hata Wasafi pia haina mmiliki mmoja. Wasafi kuna wadau watatu, mmoja ana 52%, mwingine 45% na mwingine 3%
 
Mmiliki au wamiliki!? Clouds haina mmiliki mmoja na hata Wasafi pia haina mmiliki mmoja. Wasafi kuna wadau watatu, mmoja ana 52%, mwingine 45% na mwingine 3%
Ukishaona mtu ana 51%+ huyo ndio mwenye mali

Hata pale Makalo FC Kigwangala ana 51% ndio Sababu anakuwa jeuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Mmiliki au wamiliki!? Clouds haina mmiliki mmoja na hata Wasafi pia haina mmiliki mmoja. Wasafi kuna wadau watatu, mmoja ana 52%, mwingine 45% na mwingine 3%
Wataje majina Yao na hisa zao.
 
hana ratiba nyingi wala hana umhuhimu kiasi hicho πŸ’

Chombo huru cha habari kimeamua kufuta ratiba ya mahojiano na huyo mjamaa kwasabb zilizo inje ya uwezo wao mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo.....

unatamani kulazimisha nini kwenye chombo huru au uhuru hauna maana tena πŸ’
 
Huyu mtu anasemaga uongo na kueneza falsafa isiyofaa ya uliberali tanzania. Eti kila kitu ruksa na kushindana. Wanaruhusu ushoga umalaya eti ni uhuru wa mtu. Asante wasafi kufuta mahojiano na hii kibaraka wa sera za sisi kunyonywa na wageni.
Kabisa maana Lissu ndo aliyebinafsisha kwa wageni hifadhi ya Ngorongoro, Bandari, Gas na kukopa mikopo kausha damu inayowaumiza Watanzania leo hii! Kwa hakika tumpinge kwa kila namna jambazi Lissu maana hata juzi tu katoka kukopa trilioni 4 zisizo na maelezo ya kueleweka na kutuongezea mzigo wa madeni walipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…