Ooh sisi ccm hatuogopi mtu chadema ilishakufa sijui Nini haya sasa wasafi walipotangaza kuwa na interview na Lissu kuanzia usalama Hadi mabosi wao hakuna aliyelala nadhani mkuu wa mkoa wa DSM analijua hili sipati picha jasho lilivyomwagika kutoka kwenye upara na amri ya kusitisha mahojiano ikafuata. Walidhani Lissu ni mdebwedo