kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Naona umeamua kupiga promo ya upinde!Kacheki Uzi wa π mwenzio aitwaye Gilbert Massage naye kaleta Uzi huu huu. Inaonekana hampangani vizuri hapo uvccm.
Kuna fala mwezio kipara kipya kakuwahi....naona mazezeta at workKikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
GM , Nairobi Kenya
Naona umeamua kupiga promo ya upinde!
Labda hicho chama chao cha [emoji304] hakina msemaji hivyo wanagombania kutangaza umbea waoUmechelewa [emoji304] mwenzako aitwaye kipara kipya ameshaleta hii propaganda. Panganeni uwe ni Uzi wa nani.
Kwahiyo unasema Mke wake T.L alikuwa akibanduliwa kule?We ukiskia mkeo anabanduliwa utaacha kwenda huko ulipoambiwa?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Zote hizo zenu ni hisia na mihemko chairman kafanya yake vita ni akili adui hatoki mbali!Kama umesikiliza maelezo ya watu wa Wasafi, Makonda ametajwa kwa codes mara kadhaa lakini kwa vile kipara chako ni mfano wa kalio tuu huwezi kuelewa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni wakati gani umezungumza jema la chadema?.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
π©π©π©Kikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
GM , Nairobi Kenya
Basha wetu ni mmoja sisi watatu mimi nilijificha mwenzetu umeamua kupeperusha bendera!Nasema hivi, π mwenzio kaleta Uzi kama huu wako, neno kwa neno, inaonekana Basha wenu kawapa bila nyie kujijua saa hii anawachora tu.
Miaka yote!Ni wakati gani umezungumza jema la chadema?.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Fucking speculation, we kama mwana CCM na serikali, mnavyombo vyote vya ulinzi na ujasusi, wekeni huo ushahidi wa ugomvi ndani ya chadema, acha maneno kama shankupe la kizaramo!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .
Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,
moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Nenda ufipa!Fucking speculation, we kama mwana CCM na serikali, mnavyombo vyote vya ulinzi na ujasusi, wekeni huo ushahidi wa ugomvi ndani ya chadema, acha maneno kama shankupe la kizaramo!
Hawajitambui!wale majamaa wa cdm ni sufuri + duara=zero