Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Kikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.

Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .

Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .

Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,

moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!

GM , Nairobi Kenya
Kuna fala mwezio kipara kipya kakuwahi....naona mazezeta at work
 
Ni wakati gani umezungumza jema la chadema?.
 
Kikulacho kinguoni kiongozi wa juu wa chama chake ndio aliyepiga simu kuzuia mahojiano kwa kuwa ni rafiki wa karibu na mmiliki redio!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.

Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .

Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .

Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,

moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!

GM , Nairobi Kenya
💩💩💩
 
JamiiForums1381953234.jpg
 
Uongo ni wasafi wenyewe sisi sio watoto. Mbona clouds ilikuwa inasema uongo kuhusu maandamano kama ni marafiki. Acha uongo😂
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .

Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .

Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,

moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Fucking speculation, we kama mwana CCM na serikali, mnavyombo vyote vya ulinzi na ujasusi, wekeni huo ushahidi wa ugomvi ndani ya chadema, acha maneno kama shankupe la kizaramo!
 
Chairman yuko mbele sana ya muda kuwazidi wafuasi wake akiwemo Lissu. Nampongeza sana. Anajua jinsi ya kuwadhibiti
 
Back
Top Bottom