Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Aisee.
 
Ni Taarifa nilizosikia hapa viwanja vya Bunge wakati wabunge fulani wa Morogoro wakibadilishana Mawazo

Ngoja tuone
 
Tundu Lissu baba wa Kitanzania ambaye watoto zake amewatafutia uraia wa Marekani na kuukana Utanzania.

Amekuwa na tabia ya kuishambulia Wasafi kila anapoona haongelewi na watu wamemsahau.

Alishawai kuongoza kampeni ya kumkosesha tuzo Diamond, watu wamchague Burna Boy.

Wakati wa Magufuli alitaka Diamond aimbe kuhusu maugomvi yake na mamlaka yeye uwa aoni wengine ni Wasafi tu.

Kapewa interview ili arudi mjini kaaanza kuropoka maneno ya uongo kuichafua brand.

Ni wakati sasa lissu aache kutumia jina la Wasafi kutafuta kiki au tutaruka nae

Wasafi ni kubwa kuliko hicho chama cha Mbowe
 
Nimemshauri asiende au akinde aende na mwanahabari wake aweze kucukua kila kitakachoongelewa maana hawa wanaweeza kunyofoa sehemu ambazo ni "classified"

Bila shaka watarusha live. Hapo atatema nyongo zote uncensored.
 
Ni Taarifa nilizosikia hapa viwanja vya Bunge wakati wabunge fulani wa Morogoro wakibadilishana Mawazo

Ngoja tuone
Kenge wa cdm waliporosha matusi ya kutosha bado wanataka huyu Kamanda kwenda kuhojiwa?
 
Ndugu
Kuna pori unapaswa kulikwepa haraka sana.

Pia fahamu kuwa ndoto pekee ya kweli ni ile unayoota unasusu au unakata gogo....

Be wise to choose your battles
Nyinyi chadema mnajikutaga nani wapuuzi tu, yani kwamba ukibato na chadema ndio inakuwaje chama cha mbowe hicho DJ wa bilicanass mzee wa maokoto, watishieni tarime uko na tunduma ndio wanawaona wakombozi sabuni wapo kizani
 
Nyinyi chadema mnajikutaga nani wapuuzi tu, yani kwamba ukibato na chadema ndio inakuwaje chama cha mbowe hicho DJ wa bilicanass mzee wa maokoto, watishieni tarime uko na tunduma ndio wanawaona wakombozi sabuni wapo kizani
Haleluiya.
Cha msingi umejumbe umekufikia.

Mengine ni ushubwada mtupu
 
Lisu. Asiende wachague Moja wamafate kwake au ofisi za Chama wakamuhoji huko
 
Ruzuku ambayo ingefanya tutembee nchi nzima imeishia Pwani ya Ndovu, ngoja tuone namna ya nafuu kuwafikia wananchi
 
Kwa kipi wachafu fm wanacho...lissu jina analo toka mama domo anauza tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…