Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.

Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .

Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .

Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,

moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Aisee.
 
Ni Taarifa nilizosikia hapa viwanja vya Bunge wakati wabunge fulani wa Morogoro wakibadilishana Mawazo

Ngoja tuone
 
Tundu Lissu baba wa Kitanzania ambaye watoto zake amewatafutia uraia wa Marekani na kuukana Utanzania.

Amekuwa na tabia ya kuishambulia Wasafi kila anapoona haongelewi na watu wamemsahau.

Alishawai kuongoza kampeni ya kumkosesha tuzo Diamond, watu wamchague Burna Boy.

Wakati wa Magufuli alitaka Diamond aimbe kuhusu maugomvi yake na mamlaka yeye uwa aoni wengine ni Wasafi tu.

Kapewa interview ili arudi mjini kaaanza kuropoka maneno ya uongo kuichafua brand.

Ni wakati sasa lissu aache kutumia jina la Wasafi kutafuta kiki au tutaruka nae

Wasafi ni kubwa kuliko hicho chama cha Mbowe
 
Nimemshauri asiende au akinde aende na mwanahabari wake aweze kucukua kila kitakachoongelewa maana hawa wanaweeza kunyofoa sehemu ambazo ni "classified"

Bila shaka watarusha live. Hapo atatema nyongo zote uncensored.
 
Ni Taarifa nilizosikia hapa viwanja vya Bunge wakati wabunge fulani wa Morogoro wakibadilishana Mawazo

Ngoja tuone
Kenge wa cdm waliporosha matusi ya kutosha bado wanataka huyu Kamanda kwenda kuhojiwa?
 
Ndugu
Kuna pori unapaswa kulikwepa haraka sana.

Pia fahamu kuwa ndoto pekee ya kweli ni ile unayoota unasusu au unakata gogo....

Be wise to choose your battles
Nyinyi chadema mnajikutaga nani wapuuzi tu, yani kwamba ukibato na chadema ndio inakuwaje chama cha mbowe hicho DJ wa bilicanass mzee wa maokoto, watishieni tarime uko na tunduma ndio wanawaona wakombozi sabuni wapo kizani
 
Haleluiya.
Cha msingi umejumbe umekufikia.

Mengine ni ushubwada mtupu
 
Lisu. Asiende wachague Moja wamafate kwake au ofisi za Chama wakamuhoji huko
 
Ruzuku ambayo ingefanya tutembee nchi nzima imeishia Pwani ya Ndovu, ngoja tuone namna ya nafuu kuwafikia wananchi
 
Tundu Lissu baba wa Kitanzania ambaye watoto zake amewatafutia uraia wa Marekani na kuukana Utanzania.

Amekuwa na tabia ya kuishambulia Wasafi kila anapoona haongelewi na watu wamemsahau.

Alishawai kuongoza kampeni ya kumkosesha tuzo Diamond, watu wamchague Burna Boy.

Wakati wa Magufuli alitaka Diamond aimbe kuhusu maugomvi yake na mamlaka yeye uwa aoni wengine ni Wasafi tu.

Kapewa interview ili arudi mjini kaaanza kuropoka maneno ya uongo kuichafua brand.

Ni wakati sasa lissu aache kutumia jina la Wasafi kutafuta kiki au tutaruka nae

Wasafi ni kubwa kuliko hicho chama cha Mbowe
Kwa kipi wachafu fm wanacho...lissu jina analo toka mama domo anauza tandale
 
Back
Top Bottom