passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Kudai haki yako ndo udiktetaAhhh. πKwani pale ni maelezo. Apunguze Udikteta
Akamalizie kombe lake la Uji, aje afanye mahojiano humu basi. T.L aje tu J.F amalize nyongo.
Aende Chanzo, au aje hapa.Kwa akili zako nyingi unafikiri tcra watatoa license ya media ya chadema?
Mbona wasafi hawasemi ni uvamiziSi wameweka hayo kwenye Barua yao. Eti Wametushitaki U.N π€― π.
Nasikia kagoma kuondoka huko mpaka kieleweke.
Kaamua kufanya Uvamizi wake. C'mon
Aje huku kwa watumiaji majina bandiaAende Chanzo, au aje hapa.
Where we dare to talk openly.
Hatahivyo wakikidhi matakwa ya Leseni watapata. Shida nini tena?
Kwa maneno yako hayo ndio unaona umepata haki?Kudai haki yako ndo udikteta
Unajua maana ya udikteta wewe hivi uko shuleni mnaenda kusoma nini au mnaenda kukua
Kwanza nimefurahi sana ,nimekuwa natoa malalamiko hapa jf mara kadhaa kwamba ni chombo Cha Upinzani maana ukinadika mada ya kusifi Serikali na Rais mara nyingi lazima heading wabadili waweke Ile wanayoita.Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa.
Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM
---
Taarifa kutoka ukurasa rasmi wa CHADEMA mtandao wa X
Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe. Lissu na kumjuza kuwa mahojiano hayo yameahirishwa kutokana na maelekezo kutoka juu.
Aidha, asubuhi ya leo Mhe. Tundu Lissu amefika Wasafi Tv kujua sababu za kuahirishwa kwa mahojiano hayo. Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea muda huu katika ofisi za Wasafi Tv.
Updates
Tundu Lissu sasa yupo Wasafi FM kupata sababu za msingi za kufutwa kwa mahojiano. Licha ya kupewa taarifa kwa njia ya simu, Lissu hakuridhika na badala yake amekuja mwenyewe Wasafi. Uongozi wa Wasafi umeomba radhi bila kueleza sababu za msingi.
View attachment 2896687
Picha: Tundu Lissu akiwa ofisi za Wasafi
Yule yuleDiallo yule aliyekuwa anagombea uenyekiti wa CCM Mkoa aende kinyume na Magufuli kisha abaki salama?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yeye ameuliza apewe sababu hakuna sehemu yeyote amevunja sheria wala sio ubabeKwa maneno yako hayo ndio unaona umepata haki?
Sasa mtu ashaambiwa , Mzee Interview hamna, yeye anaamua kwenda kuvamia na kugoma kuondoka, hiyo ni nini kama sio kiashiria cha ubabe.
Ndio, Ubabe ni Udikteta.
wazee wa malalamiko mnatia huruma mkubwa wenu anakataliwa kama vile ilikua Lazima yaani π€£
kuweni waungwana mkizuiliwa pande hizi,
find other platforms and air the massage you intend to share to the publics, shida iko wap, kwan Lazima wasafi π
kwa tabia hiyo which media house atawaalika tena ving'ang'anizi wenye nuksi na wabishi kama hivi π
Ratiba mzee,Lissu ana ratiba my ngi,huwezi kumuandaa kisaikolojia halafu ukaahirisha pasipo kutoa sababu maalum.wazee wa malalamiko mnatia huruma mkubwa wenu anakataliwa kama vile ilikua Lazima yaani π€£
kuweni waungwana mkizuiliwa pande hizi,
find other platforms and air the massage you intend to share to the publics, shida iko wap, kwan Lazima wasafi π
kwa tabia hiyo which media house atawaalika tena ving'ang'anizi wenye nuksi na wabishi kama hivi π
Mtozi anafaa kuiwa BBCna si bara jeusi tii lililojaa chawa,kunguni na mafioso kila aina. R 4 zimeota mbawaπππ
Media yenye uwezo wa kuhoji mtu yoyote ni ya yule Ngosha wa Mwanza Mzee Anthony na kijana wake Mtozi πΌ na Odemba
Nacho jua, T.L kagoma kuondoka. Sasa mpaka taarifa zingine zitiririke kusema vinginevyo hayo ya Mamlaka siwezi ku speculate.Unadhani Diamond ana mamlaka na Wasafi fm ?
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa.
Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM
---
Taarifa kutoka ukurasa rasmi wa CHADEMA mtandao wa X
Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe. Lissu na kumjuza kuwa mahojiano hayo yameahirishwa kutokana na maelekezo kutoka juu.
Aidha, asubuhi ya leo Mhe. Tundu Lissu amefika Wasafi Tv kujua sababu za kuahirishwa kwa mahojiano hayo. Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea muda huu katika ofisi za Wasafi Tv.
Updates
Tundu Lissu sasa yupo Wasafi FM kupata sababu za msingi za kufutwa kwa mahojiano. Licha ya kupewa taarifa kwa njia ya simu, Lissu hakuridhika na badala yake amekuja mwenyewe Wasafi. Uongozi wa Wasafi umeomba radhi bila kueleza sababu za msingi.
View attachment 2896687
Picha: Tundu Lissu akiwa ofisi za Wasafi
Tatizo Lisu Hana self control hazingatii kanuni za TCRA akiongea vyombo vya habariKwani wasafi ni ya CCM? Halafu kwanini Tundu wanamwogopaga sana? Watakubali mahojiano na watu wote lakini sio Tundu, why? Si wanasema demokrasia na utawala bora ikiwa pamoja na ukweli na uwazi vimetamalaki mbona wanaogopa watu kuexpresi feelings zao, si for the people by the people? Au nasema uwongo ndugu zangu?