johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua Tundu Antipas Lisu ni mgombea Urais kupitia Chama kikuu cha Upinzani hivyo ni mtu nyetiWasafi, nao Wana mumunya mumunya tu.
Hatahivyo, tabia ya kukurupuka na kwenda kuvamia kituo cha redio, eti kwasababu hakuridhika na taarifa ya kufutwa au kubadilishiwa Mahojiano yake-Kina uashiria wa Udikteta. Ubabe Ubabe.
Sidhani kama Diamond ana wajibu. Labda kama makubaliano hayakuwekewa kipengele cha "Kusitisha mahojiano bila ya sababu yeyote ile"
....anywho
Kwa maana hiyo Ratiba zake haziwezi kuvurugwa na Watu Wadogo Wadogo kama akina Zembwela 😄