Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Ni swali rahisi sana Lakini ni gumu vile vile

Nawatakia mchana mwema 😂
 
Mpumbavu ni wewe ni huyo Lisu wenu.Naukiza tena huyo akianza kutishia media za watu,nani ataenda kufanya coverage ya habari zenu?

Kwani tatizo ni hizo media, ni media gani inatishiwa na mtu asiye na silaha? Ama unadhani hatujui nani anatishia media?
 
Sasa ziara ya makonda iko dar karibu na ofisi za wasafi?we jamaa tumiaga akili basi wakati mwingine
 
Kwani tatizo ni hizo media, ni media gani inatishiwa na mtu asiye na silaha? Ama unadhani hatujui nani anatishia media?
Nani anatishia media na ushahidi mbao? Kama mnajua si mkashitaki anaewatishia badala ya kushitaki aliyetishika au?
 
Hando ajiangalie sana tena sana
Umewaza nilichowazq, yanaweza kumkuta ya Absalom Kibanda. Watu hawako tayari kupoteza madaraka, na kitendo Cha kumpa Lisu coverage ni kutaka kuharibu madaraka Yao.
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Wananchi mtafanya nini? Wananchi wapumbavu wa hii nchi huwa hamna mchango serious kwenye mabadiliko,mnasubiri wachache wafanye muanze kuwacheka na kuwatukana,mangapi yameletwa kwa wananchi na mmebaki kucheka cheka tu
 
Kujipendekeza tu kishamba yaani hao CCM wawaite CDM kwenye majukwaa wakapambane, serikali iruhusu maandamano yao, kila siku viongozi wa CDM wapo kwenye national televisions. Lissu aogopwe kufanya interview wasafi.

Haya ndio madhara ya vyombo vya habari kumilikiwa na makanjanja bila ya kuelewa implications ya yao kwa wengine katika harakati zao za kujipendekeza jinsi yanavyoweza wapa bad publicity hao wanaodhani wanawasaidia.

Ningekuwa waziri wa habari Nape au TCRA ningetaka Wasafi watoe maelezo ya sababu za kufuta hiyo interview na kumuomba msamaha Lissu hadharani.

Ushamba tu na kujipendekeza; sioni sababu ya CCM kuzuia airtime ya CDM kipindi hiki wakati kila siku wapo kwenye popular online media’s na national televisions.
 
Yaani kumzuia Lissu ndo wameharibu zaidi. Bora wangemwacha aje abwabwaje asepe. Kumzuia inampa publicity kubwa zaidi. Habari mbaya ndo habari nzuri kwa mwanasiasa. Hapo Lissu leo kafurahi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…