eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Aha Haa haaa
Wenyewe wamengeweka studio pale ufipa. Halafu wangetangaza kutwa kucha kama wenzao wa radio uhuru.