Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi

Aha Haa haaa
Wenyewe wamengeweka studio pale ufipa. Halafu wangetangaza kutwa kucha kama wenzao wa radio uhuru.
 
Kwani lazima mhojiwe? Ndio wanazijua

Bwahaaa bwahaaaa, yaani Leo ninacheka tu. Huwa mnalazimisha msikilizwe nyie tu kisha mnaishia kupotosha. Wakijitokeza wengine hamtaki maana mnajua upotoshaji wenu utawekwa hadharani. Acheni kuharibu biashahara za wanaume bana, Tv yenu ya TBC mmeipotezea mvuto, Sasa hivi mnalazimisha kupotezea na vituo vya wengine mvuto. Ni hivi tumewachoka, acheni tuwasikilize tuwatakao, sio mnachotaka tusikilize nyinyi.
 
Kama ni kupoteza viewers na followers ungeipambania TBC1 maana hiyo ndio ya ccm, pilipili usiyoila inakuwashia Nini? Hiyo Waswaafi viewers wake ni vijana na sio wazee kama TBC, na vijana wanataka kumsilikiliza Lisu, itapotezaje viewers, na hata ikipoteza kwa ajili ya Lisu shida yako ni Nini, kwani ww ni afisa masoko wa Wasafi?

Huu ujinga wa kuandaa mafuriko fake ndio ulimponza Magufuli, akaamini anakubalika na wapinzani wake wamepotea kisa alitisha vyombo vya habari vikawa vinamtukuza yeye tu. Ilipofika wakati ww kampeni akafanya hila zote, lakini Bado wapinzani walipata nyomi la ukweli, akaishia kupora uchaguzi. Ujinga ule ule naona Bado mnatembea nao. Nasema hivi, acheni kuharibu biashahara za wanaume, kama mmechoka kubalini tu hakuna kinachodumu milele.

Kama ni kupoteza viewers na followers ungeipambania TBC1 maana hiyo ndio ya ccm, pilipili usiyoila inakuwashia Nini? Hiyo Wasafi viewers wake ni vijana na sio wazee kama TBC, na vijana wanataka kumsilikiliza Lisu, itapotezaje viewers, na hata ikipoteza kwa ajili ya Lisu shida yako ni Nini, kwani ww ni afisa masoko wa Wasafi?

Huu ujinga wa kuandaa mafuriko fake ndio ulimponza Magufuli, akaamini anakubalika na wapinzani wake wamepotea kisa alitisha vyombo vya habari vikawa vinamtukuza yeye tu. Ilipofika wakati ww kampeni akafanya hila zote, lakini Bado wapinzani walipata nyomi la ukweli, akaishia kupora uchaguzi. Ujinga ule ule naona Bado mnatembea nao. Nasema hivi, acheni kuharibu biashahara za wanaume, kama mmechoka kubalini tu hakuna kinachodumu milele.
wasafi sio manyumbu,

wameasess impact ya iyo interview wakabaini itaharibu image yao wakoaona ni busara kuicancel na kumuarifu muhusika.
Hapo kuna ubaya gani na ni chombo cha habari huru 🐒

By the way maybe wamebaini pia huyo mjamaa hakua anawawakilisha waTz but mabwenyenye yanayomtuma kutoka ng'ambo kwahiyo hakukua na sababu za kumruhusu bilashaka walimshauri aende kujaribu Al Jazeera 🤣
 
Hela za ruzuku wamemaliza, hawana za mikutano ya hadhara, wanavizia redio za watu ili waongee na wananchi
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Kwa hio huko Kenya mfano chama cha Ruto kina media zake, Jubilee ina media yake, ODM ina media yake, akili za kipumbavu hizi, CCM wanafanyia mahojiono kwenye media zao pekee? Mchi ina watu wenyewe uwezi mdogo sana wa kuwaza aisee Mungu saidia
 
Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Na ndio maana nasema ajiangalie..alianza kipindi yuko PB wakamtenga akaondoka..EFM nako akazingua wakamsimamisha...sasa naona amehamishia harakati zake wasafi...ila mie kama ndugu yangu namshauri ajiangalie...
 
wasafi sio manyumbu,

wameasess impact ya iyo interview wakabaini itaharibu image yao wakoaona ni busara kuicancel na kumuarifu muhusika.
Hapo kuna ubaya gani na ni chombo cha habari huru 🐒

By the way maybe wamebaini pia huyo mjamaa hakua anawawakilisha waTz but mabwenyenye yanayomtuma kutoka ng'ambo kwahiyo hakukua na sababu za kumruhu labda walimshauri aende Al Jazeera 🤣
Siyo Wasafi.Inajulikana wametishiwa(blackmailing & intimidating) ili CCM isiachwe imevaa shanga tupu bila kipande cha nguo kwenye soko la kijiji.
 
Kama anajikuta anapenda harakati ni Bora aende huko upinzani rasmi,huko kwingine hata kazi anaweza poteza na WA kumsaidia asiwepo Kwa sababu anakuwa partial badala ya kuchukua upande.
Kwa taarifa yako hao wanahabari wengine hawaipendi ccm, lakini inabidi waishi kinafiki tu Ili mkate upatikane. Hata hivyo vyombo vya habari vinataka habari za wapinzani maana ndio zinauzwa ila hawana jinsi, walioko madarakani kwa shuruti hawataki.
 
Pale Wasafi ni Kazini?

Dunia hii ni mapito kwa kweli 😂😂
 
Kwa taarifa yako hao wanahabari wengine hawaipendi ccm, lakini inabidi waishi kinafiki tu Ili mkate upatikane. Hata hivyo vyombo vya habari vinataka habari za wapinzani maana ndio zinauzwa ila hawana jinsi, walioko madarakani kwa shuruti hawataki.
Ndio hivyo hata Kwa lazima wataipenda na nyie mtaendelea kulalamika
 
wasafi sio manyumbu,

wameasess impact ya iyo interview wakabaini itaharibu image yao wakoaona ni busara kuicancel na kumuarifu muhusika.
Hapo kuna ubaya gani na ni chombo cha habari huru 🐒

By the way maybe wamebaini pia huyo mjamaa hakua anawawakilisha waTz but mabwenyenye yanayomtuma kutoka ng'ambo kwahiyo hakukua na sababu za kumruhusu bilashaka walimshauri aende kujaribu Al Jazeera 🤣
Je hiyo ndiyo sababu waliyoiweka publicly?
 
Ratiba mzee,Lissu ana ratiba my ngi,huwezi kumuandaa kisaikolojia halafu ukaahirisha pasipo kutoa sababu maalum.
sasa analalamika nini kama ana ratiba nyingi 🤣

sasa si ndio amepata muda mwingi kupumzika na kujiandaa na hizo ratiba nyingine nyingi 🤣

Halafu sasa sia aende kwenye izo ratiba nyingine nyingi alizonazo 🤣🤣
 
Kwa taarifa yako hao wanahabari wengine hawaipendi ccm, lakini inabidi waishi kinafiki tu Ili mkate upatikane. Hata hivyo vyombo vya habari vinataka habari za wapinzani maana ndio zinauzwa ila hawana jinsi, walioko madarakani kwa shuruti hawataki.
Huu ndiyo ukweli wenye uhakika.Baaaaasiii!
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
ofisi nzuri yenyewe hawana .sembuse TV ?
 
Back
Top Bottom