Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Hii nimewahi kuzungumza humu kuwa wakati mchakato wa kugombea haujaanza rasmi ndani ya vyama, hakuna ubaya wowote kwa mwanachama yoyote kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote, kitu ambacho sio sawa ni mtu kujimilikisha ugombea wa nafasi fulani kwasababu tuu ni wewe uligombea uchaguzi uliopita!. Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!
Kingine ambacho Tundu Lissu ameharibu kwenye mahojiano haya ni alipoulizwa kama atagombea urais 2025, Tundu Lissu amejibu "ndio, nitagombea!". This is not right kwasababu it's as if Chadema imeisha mteua yeye kugombea. Alipaswa ajibu kuwa nina nia ya kugombea tena urais na nitaomba ridhaa ya chama changu, nikipitishwa, nitagombea!. Jibu la Lissu its as if kwa vile yeye ndie mgombea urais Chadema uchaguzi wa 2020, sasa amejimilikisha ugombea wa 2025, kama Dr. Slaa alivyojimilikisha ugombea urais wa Chadema 2015 hivyo Chadema ilipopata mgombea bora kuliko Dr. Slaa, Dr. Alisusa akazira na kutimka zake mamtoni!. Hivyo Chadema ikipata mgombea bora kuliko Tundu Lissu, mtu atasusa kuzira na kutimkia zake Ubelgiji!.

Paskali

P
 
Hii nimewahi kuzungumza humu kuwa wakati mchakato wa kugombea haujaanza rasmi ndani ya vyama, hakuna ubaya wowote kwa mwanachama yoyote kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote, kitu ambacho sio sawa ni mtu kujimilikisha ugombea wa nafasi fulani kwasababu tuu ni wewe uligombea uchaguzi uliopita!. Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!
P
Maono ya mbali sana!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza za huku mtaani minong'ono ni kwamba kusitishwa kwa interview ya makamu mwenyekiti leo asubuhi kwenye kipindi cha asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .

Hivyo mara moja chairman alivuta uzi kwa mmiliki wa kituo cha radio mwenye hisa nyingi ambaye ni rafiki yake mkubwa na wadau wa siku nyingi kwenye mambo ya burudani na huku akimiliki chombo chengine cha habari .

Na kuwapa maagizo wafanyakazi wahirishe zoezi hivyo vice-chairman baada ya kusomwa pumzi zake huko aliko ameonekana ni nyoka wa kibisa hana madhara,

moja ya ajenda ambayo chairnan hapendi kuisikia ni vice-chairman kupenda kujinasibu kuwa atagombea uraisi bila baraka za chama ikiwa chairman anataka kusimama mwenyewe!
Umebakiza nukta chache sana kuwa SH0G@
 
asubuhi.
Ni figisu za chairman wa hicho zinazoendelea chini kwa chini eti hawajui vice-chairman angekwenda kusema nini, hawataki mvurugano na serikali .
Wewe ni mwendawazimu Sana Sana, kama ni hivyo kama unavyodai, kwanini washindwe kumtaja? Sometimes tumieni akili kidogo kuliko makalio.
 
Hii nimewahi kuzungumza humu kuwa wakati mchakato wa kugombea haujaanza rasmi ndani ya vyama, hakuna ubaya wowote kwa mwanachama yoyote kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote, kitu ambacho sio sawa ni mtu kujimilikisha ugombea wa nafasi fulani kwasababu tuu ni wewe uligombea uchaguzi uliopita!. Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

P
Ndio maana kuna nyakati ukijinasibu kama MTU critical huwa nakushangaa Sana, yaani hata kama ni uchawa, pascal angalia wapi ufanyie uchawa wako. Kuna mada nyingine unakomenti as if sio wewe.
 
Kachukue ujira wako wanao waende chooni.
Ana ujira Gani mwendawazimu huyu?? Hawazungumzii kuhusu ukosefu WA maji kwa week nzima wala mgao WA umeme WA zaidi ya masaa 12 kwa siku, wako na petty issues! Huu ni ujinga na uwendawazimu WA kiwango kikubwa Sana.

Halafu ndio utegemee Wapumbavu kama hawa washauri na kufanya Mambo ya msingi kwenye Taifa? Pumbavu
 
Ndio maana kuna nyakati ukijinasibu kama MTU critical huwa nakushangaa Sana, yaani hata kama ni uchawa, pascal angalia wapi ufanyie uchawa wako. Kuna mada nyingine unakomenti as if sio wewe.
Iko hivi
JamiiForums1389173211.jpg
FB_IMG_1604027510826.jpg
 
CHADEMA waanzishe channel yao ya radio na tv, wenzao CCM wana radio Uhuru, Channel ten TO fghjn5%, gazeti la uhuru plus wapiga makofi wengine kama Clouds, Wasafi n.k.
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
wananchi walikuwa wapi wakati hao jamaa walipofanyiwa figisu za kisiasa?
 
Back
Top Bottom