Nimekupata mkuu tuendelee na mjadalaMfano wa ushoga kwenye Mada ya ukahaba? That's insanity simamia kimoja unataka tuzungumzie kuhusu ushoga tuongelee ushoga unataka tuongelee ukahaba basi tuongelee ukahaba sio una-mix mara ushoga mara ukahaba unatafuta sympathy ya kutete mada jua kua sababu kuu ya ukahaba ni Ufukara na umasikini, mabinti wengi wa kutoka Maisha ya kimasikini ndio wanaoangukia huko taja mtoto wa kibopa yoyote mwenye ukwasi wa kutosha ambae anauza Mbunye alafu Mimi nikuoroshee watoto wa Masikini ambao wanauza Mbunye sababu ya umasikini walionao
Sasa wewe hivi haujui kwamba Magari yanakodishwa na nyumba zinapangishwa?Mfano wangu ni kastory karefu kidogo, kuna kipindi nasoma chuo nilijaribu kurequest escort mtandaoni tukakubaliana dau lak4 per show(sikuwa serious just kujaribu)
Basi akaniambia tuma nauli, ili kuonesha nipo vizuri nikamtumia 20k nikampa location baada ya dk kadhaa kafika kwenda nakuta ndinga na bonge la pisi na miwani juu nikapiga naona anapokea wee nilitafuta njia ya kutolokea sijampokelea simu tena
Upo sahihi mkuu kazi inabaki kwenye kumdhibiti muuzaji ila kwa ulivyosema nakuunga mkonoUkimdhibiti muuzaji(mwanamke) automatically biashara itakufa ila ukimdhibiti mnunuaji(mwanaume) as long as muuzaji bado yupo basi biashara itaendelea kuwepo tu. Angalia mfano biashara ya madawa ya kulevya wauzaji wanadhibitiwa kwa kuweka sheria na adhabu kali wakibainika kwa sababu hawa ndio chanzo cha tatizo lakini watumiaji wanachukuliwa kama waathirika tu ambao wanahitaji msaada wa kupelekwa hospital au rehab.
Hio kitu haifi labda wadhibiti umasikini na Ufukara kwanza apart from that ni useless facts hakuna kingine mambo yataendelea kubakia hivyo hivyo, kahaba atafuti kufikishwa kileleni au namna gani kahaba anatafuta Pesa sababu ya kutafuta Pesa ni kwamba yeye ni Masikini fukara hana Pesa, niishie hapo mkubari mkatae jibu ndio hilo mkitaka kudhibiti ukahaba 100% anzeni na kudhibiti Ufukara na umasikini usioshikika kwanza baada ya hapo hutomuona kahaba kamweUpo sahihi mkuu kazi inabaki kwenye kumdhibiti muuzaji ila kwa ulivyosema nakuunga mkono
Sikupingi mkuu katika sababu kuu hiyo ipo lakini kuna zingine mfano tu ni uweze kuangalia kati ya makahaba wa mjini na wale wanawake wa kijijini ni nani masikini zaidi?Sasa wewe hivi haujui kwamba Magari yanakodishwa na nyumba zinapangishwa?
Mimi nimeshashuhudia makahaba wa hivyo wengi sana Magari wanakodisha sio kwamba ni ya kwao, jifunze kutoka kwangu unataka kusema hata zile apartment wanazopanga ni za kwao?
Eti nimeenda nyumbani kwa kahaba nyumba hio sio yake amepangisha tu kwa siku au kwa Mwezi hata HIO Gari hua wanakodisha per day hata wewe unaweza ukakodisha Gari ukaenda kuosha viwanja na hao ni wale ambao ni angalau Ila sababu kuu ni umasikini usione anatembelea Gari ukahisi ni tajiri nyuma ya pazia hujui hujui haujui
Wewe una uhakika kijijini umefika na haujakutana na kahaba? MIMI nimefika vijijini huko makahaba wapo popote yaan sitaki kusema sana Ila jua makahaba wapo popote utakapoenda iwe MJINI au iwe kijijini kote kote wapo, jifunze zaidi utaelewaSikupingi mkuu katika sababu kuu hiyo ipo lakini kuna zingine mfano tu ni uweze kuangalia kati ya makahaba wa mjini na wale wanawake wa kijijini ni nani masikini zaidi?
Kwanini pamoja na umasikini wao bado hawapo tayari kujiuza?
Na kingine angalia nchi zilizoendelea utakuta ukahaba upo wa kiwango cha juu kwanini?
Kwahiyo na tabia nazo ni chanzo kikuu cha ukahaba
Mifano ipo mingi sema hapa huwezi kumtaja mtu directly ila kwa wanaopoa pisi nzuri zenye kazi zao wanaelewa haya acha hivyo vidada poa vya uswazi vya 2,000-50,000Sasa wewe hivi haujui kwamba Magari yanakodishwa na nyumba zinapangishwa?
Mimi nimeshashuhudia makahaba wa hivyo wengi sana Magari wanakodisha sio kwamba ni ya kwao, jifunze kutoka kwangu unataka kusema hata zile apartment wanazopanga ni za kwao?
Eti nimeenda nyumbani kwa kahaba nyumba hio sio yake amepangisha tu kwa siku au kwa Mwezi hata HIO Gari hua wanakodisha per day hata wewe unaweza ukakodisha Gari ukaenda kuosha viwanja na hao ni wale ambao ni angalau Ila sababu kuu ni umasikini usione anatembelea Gari ukahisi ni tajiri nyuma ya pazia hujui hujui haujui
Makahaba hao wa hizo Nchi una uhakika gani kua ni matajiri? Bro jifunze zaidi huko unaposema Nchi zilizoendelea pia kuna Masikini wa kutupwa namaanisha wa kutupwaNa kingine angalia nchi zilizoendelea utakuta ukahaba upo wa kiwango cha juu kwanini?
Kwahiyo na tabia nazo ni chanzo kikuu cha ukahaba
Sawa ila bado haijustify kuwa umasikini ndiyo chanzo pekee cha ukahaba kuna masikini wengi tu na bado hawajiuziWewe una uhakika kijijini umefika na haujakutana na kahaba? MIMI nimefika vijijini huko makahaba wapo popote yaan sitaki kusema sana Ila jua makahaba wapo popote utakapoenda iwe MJINI au iwe kijijini kote kote wapo, jifunze zaidi utaelewa
Ndio ujue chanzo cha yote ni umasikini hizo Pisi unazosema zina kazi zao na kazi zao unazozisema zinaeleweka Ila tambua chanzo ni umasikini wewe acha ubishi hauelewi ndio maana Ila siku ukielewa utanielewa zaidiMifano ipo mingi sema hapa huwezi kumtaja mtu directly ila kwa wanaopoa pisi nzuri zenye kazi zao wanaelewa haya acha hivyo vidada poa vya uswazi vya 2,000-50,000
Nimekwambia asilimia kubwa ni Masikini na chanzo kinachosabisha wengi waingie huko sio kupenda Ila asilimia kubwa chanzo ni umasikini na Ufukara uliotukuka, mark my words chanzo ni umasikini na Ufukara uliotukuka sio kingineSawa ila bado haijustify kuwa umasikini ndiyo chanzo pekee cha ukahaba kuna masikini wengi tu na bado hawajiuzi
Tafuta dawa ya kukata libido kwa wanaume. Mengine yote ni porojo tu. Kama libido ipo, huduma ya ukahaba itaendelea kuwepo tu. Vinginevyo tumia vitisho vya kidini na kisheria ili kupunguza kidogo.Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Sema unaendesha mjadala kwa kubishana mimi sipo kwa ajili ya mabishano na pia sijapinga hoja yakoMakahaba hao wa hizo Nchi una uhakika gani kua ni matajiri? Bro jifunze zaidi huko unaposema Nchi zilizoendelea pia kuna Masikini wa kutupwa namaanisha wa kutupwa
Sio wa Kigoma Ila ujumbe umekufikia fanya research yako upya tembelea kule walipo au watembelee wale uwahoji vizuri watakupa ABC za nini chanzo n I'm telling you 99% watakwambia chanzo ni umasikini ndio uje hapa na andiko Jipya ukiwa na Solution watakayokupa wao wenyewe sio solutions zako wewe wao ndio wanajua solutions ni nini sio weweSema unaendesha mjadala kwa kubishana mimi sipo kwa ajili ya mabishano na pia sijapinga hoja yako
I guess wewe ni wa kigoma(jokes)
Kwanini vitumike vitisho na si utungaji na utekelezaji wa sheria wezeshi mimi nafikiri iwe hivyoTafuta dawa ya kukata libido kwa wanaume. Mengine yote ni porojo tu. Kama libido ipo, huduma ya ukahaba itaendelea kuwepo tu. Vinginevyo tumia vitisho vya kidini na kisheria ili kupunguza kidogo.
Hilo la umasikini sijalipinga mkuu na ndio maana ukisoma andiko langu nimeuliza kuwa wanawake wawezeshwe ili kupunguza ukahaba au wanaume waache kununua malaya ili biashara ife?Sio wa Kigoma Ila ujumbe umekufikia fanya research yako upya tembelea kule walipo au watembelee wale uwahoji vizuri watakupa ABC za nini chanzo n I'm telling you 99% watakwambia chanzo ni umasikini ndio uje hapa na andiko Jipya ukiwa na Solution watakayokupa wao wenyewe sio solutions zako wewe wao ndio wanajua solutions ni nini sio wewe
Ndio maana nikakwambia ukikutana nao ukamhoji mmoja baada ya mwingine watakupa solutions sio hizo solutions zako yaan zinaweza zikawa hata haziwahusu wao wana solutions zao wao km wao na solution moja wapo watakayokwambia wengi ni kutoka katika umasikini wakitolewa kwenye umasikini wanaacha hio shughuli mara moja, wanatolewajwe kwenye umasikini hapo ndio ukae kwa kutulia uchukue notes watakachokwambia sio wewe kujitungia solutions zako je km hawazihitaji hizo solutions zako na wanaona hazina msaada kwao?Hilo la umasikini sijalipinga mkuu na ndio maana ukisoma andiko langu nimeuliza kuwa wanawake wawezeshwe ili kupunguza ukahaba au wanaume waache kununua malaya ili biashara ife?
Means kumwezesha mwanamke ni pamoja na kumpunguzia hali ngumu ya maisha au kumpa mbadala tofauti na biashara ya ngono
Ukisoma heading tu utagundua sijaja na solution ila nimeuliza solutionsNdio maana nikakwambia ukikutana nao ukamhoji mmoja baada ya mwingine watakupa solutions sio hizo solutions zako yaan zinaweza zikawa hata haziwahusu wao wana solutions zao wao km wao na solution moja wapo watakayokwambia wengi ni kutoka katika umasikini wakitolewa kwenye umasikini wanaacha hio shughuli mara moja, wanatolewajwe kwenye umasikini hapo ndio ukae kwa kutulia uchukue notes watakachokwambia sio wewe kujitungia solutions zako je km hawazihitaji hizo solutions zako na wanaona hazina msaada kwao?
Fanya research upya uje na andiko lingine Jipya
Vp kwa wanaouza indirect?Mkiacha kununua biashara itakoma according to member hapo juu